Mwigulu Nchemba: Maskini Hakopi na Hakopesheki.Tunakopa Kwa sababu Tanzania ni Tajiri.

Sijibu mbumbumbu
Huna uwezo huo, wa kudadavua uchumi. Na inawezekana huko mtaani unaganga njaa. Huna nyuma wala mbele. Kamuulize huyo Mwigulu anapata uwezo wapi wa kulipa wachezaji wa timu?Halafu imuombe pesa ya chakula ya leo.Mjinga mkubwa ww.
 
Mwambieni aache utoto, anadhihirisha kabisa yeye bado ni novice.

Yaani Waziri wa fedha kutoka Taifa masikini unajivunia na kushupaza shingo kutetea kukopa hovyohovyo.
 
Huna uwezo huo, wa kudadavua uchumi. Na inawezekana huko mtaani unaganga njaa. Huna nyuma wala mbele. Kamuulize huyo Mwigulu anapata uwezo wapi wa kulipa wachezaji wa timu?Halafu imuombe pesa ya chakula ya leo.Mjinga mkubwa ww.
Baki na umbumbumbu wako,sijibu mbumbumbu
 
Lucas kuna muamala umeingia kwa simu yako mida hii?
 
 
Walisemaje? Kwani Kenya Ina deni kubwa kushinda Angola,Gjana,Egypt nk?

Si ni upumbavu wao tuu wa kukosa akili na aina ya jamii Yao yenye ukabila?
 
Kenya waliambiwaga hivyo hivyo na Mwai Kibaki πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
kwani hayati Rais Emilio Mwai Kibaki aliicha nchi mikononi mwa Uhuru Mwigai Kenyata ikiwa kwenye status gani ya kiuchumi?

na Rais Uhuru Mwigai Kenyata aliicha nchi katika status gani ya uchumi, mikononi mwa Rais wa sasa wa kenya Dr. William Samoe Ruto?

ukiweza kubaini tofauti ya hao viongozi wangwana katika chumi zao katika uongozi wao, ndipo sasa utaelewa mantiki na mipango ya kiuchumi ya rais wa Tanzania DR. Samia Suluhu Hassan, kupitia waziri huyu makini Dr.Mwigulu, na mipango ya kiuchumi ya Raisi Mwai kibaki wakati ule
 
Daaaah !!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…