Mwigulu Nchemba: Maskini Hakopi na Hakopesheki.Tunakopa Kwa sababu Tanzania ni Tajiri.

Nchi zinazojielewa yeye na familia yake wangekuwa washatoroshwa nchi jirani au tayari washapewa rip ila hapa kwetu ni dhihaka na dharau
 
Huna capacity hiyo. Nyie ndio machawa pa se. Hata form four tu mlipata kama Nyepe Nyauye. Hamna uwezo wa hoja zaid ya kusifia ujinga na upumbavu ili muishi. Jangu ww.
Ujinga na upumbavu ni upi? Wewe una akili au uwezo? Upi huo?
 
Huko kwingine mimi sijui ila hayo apo chini ni maneno ya kuwaambia vilaza.



Amesema haitakuja tokea Mtanzania atagongewa nyumba kudaiwa deni kwani mikopo ni sehemu ya matumizi ya serikali kama kawaida.
 
Ukitaka nyumba ya mortgage ni mpaka uwe na kazi, na kipato kinachowesha kuonekana una uwezo kulipa hilo deni la nyumba.
Sasa wewe unauuza flash za nyimbo, au unamiliki bodaboda, nenda kaombe mkopo wa nyumba kama utapewa
N ahata ukiomba wa kausha damu, wao wataka kadi ya bodaboda au uandikishe kitanda chako na fridge na tv ya geto kwako.
Sasa inakuwaje mwenye hali nzuri ndio ana uwezo wa kupewa mkopo wa maana kuliko wewe masikini?
Kama hujanilewa na hautaelewa anachosema Mwigulu
 
Lucas Msandambwa, chawa na mcheza ngoma maarufu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…