Sisi tuliokuwepo wakati wa Vita ya Kagera tunakumbuka ile miezi 18 ambavyo haikuwahi kufika.johnthebaptist your comment please
Nilikuwa nimemaliza form six and we went to Masaka straight from JKT. Nyerere alisema tufunge mkanda miezi 18, mpaka leo bado tumefunga mikanda. halafu mtu "mwongo" eti anataka kuwa mtakatifuSisi tuliokuwepo wakati wa Vita ya Kagera tunakumbuka ile miezi 18 ambavyo haikuwahi kufika
Wanasiasa siyo wa kuwaamini sana bwashee
Crap!!Tumaini la Watanzania lenye first class ya 4.9 na PhD ya uchumi limeongea. Nani atalibishia?
View attachment 2357785
Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba amesema tunakoelekea bidhaa zinaenda kushuka bei kwasababu zilipanda kuitikia kupanda kwa bei ya mafuta. Mwigulu amesema mafuta yamepungua kwa zaidi ya Tshs 400.
Mwigulu anaamini kwa jitihada za Rais Samia kuweka bilioni 100 kila mwezi itazidi kupunguza bei ya mafuta. Ametoa rai kwa watanzania, bidhaa walizoona zimepanda bei zitashuka kwasababu gharama za usafirishaji zitashuka.
Pamoja na U-Turn unazopiga nw,Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba amesema tunakoelekea bidhaa zinaenda kushuka bei kwasababu zilipanda kuitikia kupanda kwa bei ya mafuta. Mwigulu amesema mafuta yamepungua kwa zaidi ya Tshs 400.
Mwigulu anaamini kwa jitihada za Rais Samia kuweka bilioni 100 kila mwezi itazidi kupunguza bei ya mafuta. Ametoa rai kwa watanzania, bidhaa walizoona zimepanda bei zitashuka kwasababu gharama za usafirishaji zitashuka.
Kuna watu tunafikiria utadhani tunafahamiana. Tatizo la huyu Mchumi hewa ni kuishi Kwa nadharia za kwenye makaratasi.Na mafuta yakipanda na vitu vitapanda tena, nadharia za shule sio nzuri kwenye real business.
Mwigu ametokea family maskini ndomana ana DHARAU.Mwigulu amezaliwa kwenye familia ya kitajiri amekuta kwao maghorofa,magari,na supermarket ndiyo maana Hali ngumu za watanzania anaona poa tu
Mfia dini ukiona sio ndugu yako katika Imani povu Kama loteKampeni zake za Uraisi naona anazipiga vizuri.
Najua Sana hilooMwigu ametokea family maskini ndomana ana DHARAU.
Mbowe ameukuta utajiri na Hana DHARAU, maskini akipata ghafula pesa wengi hurukwa na akili.
Na aliwafanya Watanzania kuvaa kaniki yule mzeeNilikuwa nimemaliza form six and we went to Masaka straight from JKT. Nyerere alisema tufunge mkanda miezi 18, mpaka leo bado tumefunga mikanda. halafu mtu "mwongo" eti anataka kuwa mtakatifu