Hivi to be honest,Mwigulu amaewahi ku-practice wapi taaluma yake ya Uchumi?Katoka Jalalani University akaingia Benki kuu kidogo akapewa Jimbo.Sasa mtu kama uyo ana hadhi ya kuwa Waziri wa fedha?
Hili linawezekana tu, kwenye Taifa la wajinga!!
Huyu hana hadhi anayopewa,uyu alipaswa awe msaidizi wa Shaka kwenye propaganda.
Waziri wa fedha ni mtu mkubwa sana, wenzetu wanaweka watu wenye experience za kutosha na ambao wame-practice taaluma zao kabla ya kuingia kwenye siasa,Ila Tanzania ukijua tu kumsifu Mwenyekiti na kuongea uwongo basi wewe ni mtu wa maana!!