Mwigulu Nchemba: Mfumuko wa bei utashuka na bidhaa zitashuka. Asema mafuta yalipandisha bei

Haijawahi kutokea kwa Tanzania bei zipande halafu zishuke. Huu ni uzushi labda zibaki constant.
 
haijawahi kutokea kwa tz bei zipande halafu zishuke.huu ni uzushi labda zibaki constant.
Jambo hili ni Kweli Hasa Kwa bidhaa za viwandani Huwa hazishuki.

Bt vyakula hushuka kutegemea mavuno na msimu.

Ameeen.
 
Hivi to be honest, Mwigulu amaewahi ku-practice wapi taaluma yake ya Uchumi? Katoka Jalalani University akaingia Benki kuu kidogo akapewa Jimbo. Sasa mtu kama uyo ana hadhi ya kuwa Waziri wa fedha?
Hili linawezekana tu, kwenye Taifa la wajinga!!

Huyu hana hadhi anayopewa,uyu alipaswa awe msaidizi wa Shaka kwenye propaganda. Waziri wa fedha ni mtu mkubwa sana, wenzetu wanaweka watu wenye experience za kutosha na ambao wame-practice taaluma zao kabla ya kuingia kwenye siasa,Ila Tanzania ukijua tu kumsifu Mwenyekiti na kuongea uwongo basi wewe ni mtu wa maana!!
 
Msaidizi wa shaka kwenye PROPAGANDA ndo nafasi ambayo inamfaa sana Mwigu,

Aliempandisha huko juu ametukosea sana Watanzania😠😠😠😠😠😠
 
Bado anaongoza kwa majaribio
 
Nafasi inayomfaa huyu mwanachama mwenzangu ni Kitengo cha Propaganda ili akautimize Ukomredi wake kwani ndo mwasisi.

Hapo alipo sio saizi yake kwanza anavyozidi kuongea ndo azidi kujiaribia zaidi kwani Tanzania haipangi bei ya mafuta duniani kwa hiyo ache kuja na majibu ya kisiasa ambayo yanazidi kuongeza taharuki, tukumbuke ahadi isiyotekelezeka ni moja ya taharuki.
 
Aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…