PostGE2025 Mwigulu Nchemba: Mnaambiwa 'komaa kamanda' huku mnauana

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

ChekoFagia

Senior Member
Joined
Sep 20, 2025
Posts
115
Reaction score
339
Akiwa Tunduma, mkoani Songwe kwenye ziara ya kikazi ya kukagua maeneo yaliyoathirika kutokana na vurugu zilizotokea nchini Oktoba 29 mwaka huu na siku zilizofuata, Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa wito kwa Watanzania kuacha kufuata mkumbo wa wanasiasa na wanaharakati wanaowashawishi kuchukiana, kupigana na hata kuuwana wakati mwingine, kwani wale wanaoshawishi na familia zao sio waathirika wa moja kwa moja wa madhira yanayotokea badala yake wengine wanalipwa kutokana na vurugu hizo

Akizungumza na wakazi wa Tunduma leo, Jumatano Desemba 17.2025, Dkt. Mwigulu amesema wanasiasa 'wanacharurana' majukwaani lakini wakikutana mahali ikiwemo Bungeni wanakaa pamoja na 'kuchekeana' na kwamba kwa wakati huo hawakumbuki kama wao walikuwa sababu ya watu fulani kupigana, kuchukiana au kupoteza maisha, hivyo wananchi wasikubali kuingia kwenye mkumbo wa kushawishika kuvuruga amani
 
Hivi ili neno Amani mbona kila CCM limekuwa likitumika sana sio kusema haki.
 
Tunauana au mtauua?
 
Sidhani kamanchi i.dwahi kuwa na pm mwimba taarabu kama hiyu. Sijawahi ku.sikia akiongea kitu chochote cha maana!

Hiyo mwehu muulizeni, ni lini Watanganyika wamewahi kuuana wenyewe kwa wenyewe? Watanganyika wanatekwa na kuuawa na watawala maharamia, wala hawauani wenyewe kwa wenyewe bali wanauawa na watawala.

Angekekuwa ana utimilifu wa akili na roho, angetueleza jinsi anavyopambana kuondoa utekaji na mauaji kwa watanganyika. Kwa kuwa hayaongelei mambo haya yaliyo muhimu, huyu ni mnafiki mwimba taarabu anayestahili kupuuzwa. Laiti angekuwa anapambana kukomesha utekaji na mauaji yanayofanywa na watawala, angeungwa mkono na wote wenye mapenzi mema kwa nchi yetu Tanganyika.
 
Anazidi kuwapa point za kutumia Hawa watoto wa 2000 aka jenzee.

Niliambiwa alisomea ilboru aliposomea Lisu na wakina pascal P namuona mweupeee, tena nikaambiwa alipata first class, nimeduwaaa.

Sasa nikajiuliza, Kwa Nini haangalii video speech za majawaliwa? Japo ataokota cha kusimamia na kuongea kwenye kioo?

Yaani Kuna pumba moja alisema, " viongozi wakaguliwe wanachoingia nacho serikalini(utumishi) na wakiondoka wanaondoka na nini! " Hivi kweli? Kweli Leo hii unakuja kuwahadaa watu wachunguzane mwenye kingi amekitoa wapi?

Nikamsikia akidai..nchi hii ni tajiri ".. seriously? Wananchi ni matajiri? Wanadai Nini? Yaani

Nilikugundua kweli these guys are POLITICAL ANIMALS"
 
Huyu mshamba anawaona Watanganyika wote ni vilaza kama yeye, wote wenye akili tunajua kuwa polisi na KMKM ndiyo walioua watu kwa risasi kwa amri ya Samia.
 
CCM ina tabia ya mkvndu hata uoshe kwa mapipa 100 ya maji ukichomeka kidole na kunusa harufu itakuwepo tu
 
Watanganyika tuna bagazwa na kubanangwa.

Ivii nimejifunza mengi..Mimi ni aina ya watu nikipata madaraka wata ni kolimba , watanipolepole, watani Abdul jumbe, watani gwajima.

Ndio kisa cha kuachana na mambo ya siasa
 
#Mwigulu Nchemba naona hii nafasi ni kubwa sana kwako since umepata hiyo nafasi hakuna la maana umewahi kusema, leo mali ni gharama kuliko uhai wa watu, itakua bado yale mabasi yako yanakuuma,

Sijakuona ukifika kutembelea familia zilizopoteza wapendwa wao nenda basi hata kwa kina Master T aliyekua mtangazaji wa Clouds ukitaka mpaka kwao ntakupeleka.

Wewe duniani itakukumbuka kwa kubwa moja tu la kusema vile viroba ni Maiti za wahamiaji haramu kama ulikosa utu kiasi kile nani atakuamini tena.

Muulize Durtete kilichomkuta baada ta kukiri kuua raia wakena bastola.

Next #ICC
 
#Mwigulu Nchemba naona hii nafasi ni kubwa sana kwako since umepata hiyo nafasi hakuna la maana umewahi kusema, leo mali ni gharama kuliko uhai wa watu, itakua bado yale mabasi yako yanakuuma,

Sijakuona ukifika kutembelea familia zilizopoteza wapendwa wao nenda basi hata kwa kina Master T aliyekua mtangazaji wa Clouds ukitaka mpaka kwao ntakupeleka.

Wewe duniani itakukumbuka kwa kubwa moja tu la kusema vile viroba ni Maiti za wahamiaji haramu kama ulikosa utu kiasi kile nani atakuamini tena.

Muulize Durtete kilichomkuta baada ta kukiri kuua raia wakena bastola.

Next #ICC
 
Akiwa Tunduma, mkoani Songwe kwenye ziara ya kikazi ya kukagua maeneo yaliyoathirika kutokana na vurugu zilizotokea nchini Oktoba 29 mwaka huu na siku zilizofuata, Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa wito kwa Watanzania kuacha kufuata mkumbo wa wanasiasa na wanaharakati wanaowashawishi kuchukiana, kupigana na hata kuuwana wakati mwingine, kwani wale wanaoshawishi na familia zao sio waathirika wa moja kwa moja wa madhira yanayotokea badala yake wengine wanalipwa kutokana na vurugu hizo

Akizungumza na wakazi wa Tunduma leo, Jumatano Desemba 17.2025, Dkt. Mwigulu amesema wanasiasa 'wanacharurana' majukwaani lakini wakikutana mahali ikiwemo Bungeni wanakaa pamoja na 'kuchekeana' na kwamba kwa wakati huo hawakumbuki kama wao walikuwa sababu ya watu fulani kupigana, kuchukiana au kupoteza maisha, hivyo wananchi wasikubali kuingia kwenye mkumbo wa kushawishika kuvuruga amani

Akiwa Tunduma, mkoani Songwe kwenye ziara ya kikazi ya kukagua maeneo yaliyoathirika kutokana na vurugu zilizotokea nchini Oktoba 29 mwaka huu na siku zilizofuata, Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa wito kwa Watanzania kuacha kufuata mkumbo wa wanasiasa na wanaharakati wanaowashawishi kuchukiana, kupigana na hata kuuwana wakati mwingine, kwani wale wanaoshawishi na familia zao sio waathirika wa moja kwa moja wa madhira yanayotokea badala yake wengine wanalipwa kutokana na vurugu hizo

Akizungumza na wakazi wa Tunduma leo, Jumatano Desemba 17.2025, Dkt. Mwigulu amesema wanasiasa 'wanacharurana' majukwaani lakini wakikutana mahali ikiwemo Bungeni wanakaa pamoja na 'kuchekeana' na kwamba kwa wakati huo hawakumbuki kama wao walikuwa sababu ya watu fulani kupigana, kuchukiana au kupoteza maisha, hivyo wananchi wasikubali kuingia kwenye mkumbo wa kushawishika kuvuruga amani
Hauwezi kujilazimisha kuongoza watu baada ya kuuwa maelfu ya ndugu zao. Na kutengeneza ushindi bandia. Ndio maana mmekataliwa kila kona. Na sasa imekuwa ni ama zetu ama zenu. Tutaenda hivihivi hadi mheshimu watu. Tanzania ni yetu sote—hatukuzaliwa kuja kuwa watumwa wenu,ndiyo kwanza asubuhi naona mnajisahaulisha na ziara uchwara hatutosahau hata dakika moja nyie wauaji wa ndugu zetu
 
Huyu pimbi kiazi mbatata anazidi kutoa maboko tu
hivi anatuchukuliaje sisi raia?
 
Akiwa Tunduma, mkoani Songwe kwenye ziara ya kikazi ya kukagua maeneo yaliyoathirika kutokana na vurugu zilizotokea nchini Oktoba 29 mwaka huu na siku zilizofuata, Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa wito kwa Watanzania kuacha kufuata mkumbo wa wanasiasa na wanaharakati wanaowashawishi kuchukiana, kupigana na hata kuuwana wakati mwingine, kwani wale wanaoshawishi na familia zao sio waathirika wa moja kwa moja wa madhira yanayotokea badala yake wengine wanalipwa kutokana na vurugu hizo

Akizungumza na wakazi wa Tunduma leo, Jumatano Desemba 17.2025, Dkt. Mwigulu amesema wanasiasa 'wanacharurana' majukwaani lakini wakikutana mahali ikiwemo Bungeni wanakaa pamoja na 'kuchekeana' na kwamba kwa wakati huo hawakumbuki kama wao walikuwa sababu ya watu fulani kupigana, kuchukiana au kupoteza maisha, hivyo wananchi wasikubali kuingia kwenye mkumbo wa kushawishika kuvuruga amani

..akawaambie maneno hayo watekaji, watesaji, na wauwaji.
 
Back
Top Bottom