ChekoFagia
Senior Member
- Sep 20, 2025
- 115
- 339
Tunauana au mtauua?Akiwa Tunduma, mkoani Songwe kwenye ziara ya kikazi ya kukagua maeneo yaliyoathirika kutokana na vurugu zilizotokea nchini Oktoba 29 mwaka huu na siku zilizofuata, Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa wito kwa Watanzania kuacha kufuata mkumbo wa wanasiasa na wanaharakati wanaowashawishi kuchukiana, kupigana na hata kuuwana wakati mwingine, kwani wale wanaoshawishi na familia zao sio waathirika wa moja kwa moja wa madhira yanayotokea badala yake wengine wanalipwa kutokana na vurugu hizo
Akizungumza na wakazi wa Tunduma leo, Jumatano Desemba 17.2025, Dkt. Mwigulu amesema wanasiasa 'wanacharurana' majukwaani lakini wakikutana mahali ikiwemo Bungeni wanakaa pamoja na 'kuchekeana' na kwamba kwa wakati huo hawakumbuki kama wao walikuwa sababu ya watu fulani kupigana, kuchukiana au kupoteza maisha, hivyo wananchi wasikubali kuingia kwenye mkumbo wa kushawishika kuvuruga amani
Anazidi kuwapa point za kutumia Hawa watoto wa 2000 aka jenzee.Sidhani kamanchi i.dwahi kuwa na pm mwimba taarabu kama hiyu. Sijawahi ku.sikia akiongea kitu chochote cha maana!
Hiyo mwehu muulizeni, ni lini Watanganyika wamewahi kuuana wenyewe kwa wenyewe? Watanganyika wanatekwa na kuuawa na watawala maharamia, wala hawauani wenyewe kwa wenyewe bali wanauawa na watawala.
Angekekuwa ana utimilifu wa akili na roho, angetueleza jinsi anavyopambana kuondoa utekaji na mauaji kwa watanganyika. Kwa kuwa hayaongelei mambo haya yaliyo muhimu, huyu ni mnafiki mwimba taarabu anayestahili kupuuzwa. Laiti angekuwa anapambana kukomesha utekaji na mauaji yanayofanywa na watawala, angeungwa mkono na wote wenye mapenzi mema kwa nchi yetu Tanganyika.
CCM wanatumia amani kama kichaka cha kujilinda ni wahuni sana na wazandiki wakubwaHivi ili neno Amani mbona kila CCM limekuwa likitumika sana sio kusema haki.
Alisoma vipaji etiHuyu mshamba anawaona Watanganyika wote ni vilaza kama yeye, wote wenye akili tunajua kuwa polisi na KMKM ndiyo walioua watu kwa risasi kwa amri ya Samia.
Kipaji chake ameamua kukitumia kuwa uapnde wa madahalimuAlisoma vipaji eti
Akiwa Tunduma, mkoani Songwe kwenye ziara ya kikazi ya kukagua maeneo yaliyoathirika kutokana na vurugu zilizotokea nchini Oktoba 29 mwaka huu na siku zilizofuata, Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa wito kwa Watanzania kuacha kufuata mkumbo wa wanasiasa na wanaharakati wanaowashawishi kuchukiana, kupigana na hata kuuwana wakati mwingine, kwani wale wanaoshawishi na familia zao sio waathirika wa moja kwa moja wa madhira yanayotokea badala yake wengine wanalipwa kutokana na vurugu hizo
Akizungumza na wakazi wa Tunduma leo, Jumatano Desemba 17.2025, Dkt. Mwigulu amesema wanasiasa 'wanacharurana' majukwaani lakini wakikutana mahali ikiwemo Bungeni wanakaa pamoja na 'kuchekeana' na kwamba kwa wakati huo hawakumbuki kama wao walikuwa sababu ya watu fulani kupigana, kuchukiana au kupoteza maisha, hivyo wananchi wasikubali kuingia kwenye mkumbo wa kushawishika kuvuruga amani
Hauwezi kujilazimisha kuongoza watu baada ya kuuwa maelfu ya ndugu zao. Na kutengeneza ushindi bandia. Ndio maana mmekataliwa kila kona. Na sasa imekuwa ni ama zetu ama zenu. Tutaenda hivihivi hadi mheshimu watu. Tanzania ni yetu sote—hatukuzaliwa kuja kuwa watumwa wenu,ndiyo kwanza asubuhi naona mnajisahaulisha na ziara uchwara hatutosahau hata dakika moja nyie wauaji wa ndugu zetuAkiwa Tunduma, mkoani Songwe kwenye ziara ya kikazi ya kukagua maeneo yaliyoathirika kutokana na vurugu zilizotokea nchini Oktoba 29 mwaka huu na siku zilizofuata, Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa wito kwa Watanzania kuacha kufuata mkumbo wa wanasiasa na wanaharakati wanaowashawishi kuchukiana, kupigana na hata kuuwana wakati mwingine, kwani wale wanaoshawishi na familia zao sio waathirika wa moja kwa moja wa madhira yanayotokea badala yake wengine wanalipwa kutokana na vurugu hizo
Akizungumza na wakazi wa Tunduma leo, Jumatano Desemba 17.2025, Dkt. Mwigulu amesema wanasiasa 'wanacharurana' majukwaani lakini wakikutana mahali ikiwemo Bungeni wanakaa pamoja na 'kuchekeana' na kwamba kwa wakati huo hawakumbuki kama wao walikuwa sababu ya watu fulani kupigana, kuchukiana au kupoteza maisha, hivyo wananchi wasikubali kuingia kwenye mkumbo wa kushawishika kuvuruga amani
Ndio ujue kuwa elimu ya bongo haina viwango yaani huwezi kutofautisha kati ya Phd holder na form 4 failureAlisoma vipaji eti