Mwigulu Nchemba, Mnalofanya Serikali ni ukiukwaji mkubwa wa kanuni za kodi na mnadhani Watanzania hawaelewi

Hahaha, Mkuu itabidi tumuulize Mzee Mwinyi.

Labda ingekuwa " Inalofanya serikali ni ukiukwaji mkubwa wa kanuni za sheria za kodi"
 
Usiwe unakurupuka wewe mbuzi,kodi ya kila line ni 10-200 na unayoisemea wewe ni kodi ya miamala ya kifedha
 
Weka vyanzo vyako hapa
 
Inafaa itaongeza barabara zitakazojengwa na majimbo kupata mil 600. Najaribu kujiuliza mil 600 zitaleta balaa gani huko mitaani kwa wana siasa
Achana na hao mbuzi ni bora itozwe na ikafanye malengo yake,ukisikiliza kila kenge hutofanikisha lolote.

Mwendazake alikuwa anatupora fedha kwa mtutu
 
Dr Mpango ndiye mzee wa field katika maswala ya fedha . Yaani ingewezekana wangebadilishwa huyu awe kule. Lakini kukitokea la kutokea maana yake Mwigulu atashika usukani. Mmh ni kheri yabaki kama yalivyo.
Weka cha maana alichofanya kama sio kutegemea mikopo na kupora watu fedha.
 
Hoja ingekuwa nao wabunge wakatwe kodi nk sio eti hiyo sh.10 ni kubwa kuliko kujenga barabara nk.

Mengi ya majitu yanayoropoka utakuta yanaishi Dar au mijini hayajui shida za Vijijini
 
Hujui kitu nchi sio familia yako ambayo unawaza kula kulaa kunya basi
 
Hoja sio kuondoa hiyo kodi bali hoja ni kudai hao wabunge nao walipe kodi
 
Hawa watu tuliowapa dhamana ya uongozi hawana tofauti na KORODANI wakati wa baridi zinapanda juu kupata joto na wakati wa joto zinashuka chini....

Yaani hawataki shida Hawa watu....

Ipo siku.... " Endeleeni kukaa kimya watanzania wa leo sio wale wa miaka Ya 60"

Siku pakichimbika hakuna wa kurudi nyuma hasira zetu juu yenu inakoka Moto ndani ya mioyo yetu.
 
Nitachangia garama kwenye kesi ya kikatiba.
 
Dr Mpango ndiye mzee wa field katika maswala ya fedha . Yaani ingewezekana wangebadilishwa huyu awe kule. Lakini kukitokea la kutokea maana yake Mwigulu atashika usukani. Mmh ni kheri yabaki kama yalivyo.
Afu utekaji utatamalaki upyaa🙄
 
Usiwe unakurupuka wewe mbuzi,kodi ya kila line ni 10-200 na unayoisemea wewe ni kodi ya miamala ya kifedha
I say kuna watu wajinga na hawajui kuwa ni wajinga. Ndio kwanza umeamka? Unajua maana ya miamala ya kifedha?
 
Usiwe unakurupuka wewe mbuzi,kodi ya kila line ni 10-200 na unayoisemea wewe ni kodi ya miamala ya kifedha

Kama ni kodi ya line ingekatwa wakati wa kununua line... Ukisema tulipe Kodi ya matumizi ya line hiyo ipo na inakatwa kupitia vat ktk kununua vocha..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…