Wakati huohuo wasanii wakiimbia vyama vinginr wanatekwa na kuteswaWaziri Mkuu Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, emewashangaa wanaharati wanaohimiza watanzania kuacha kusikiliza nyimbo na kuhudhuria matamasha yanayowahusisha wasanii wa Tanzania kwakuwa waliiunga mkono CCM Kwenye kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025.
Akizungukza na wa wakazi wa Tunduma mkoani Songwe leo Disemba 17, 2025, Dkt. Mwigulu amesema walichokifanya wasanii sio kibaya kwakuwa hiyi ni ajira yao inayowaingizia kipato hivyo si vyema kuwahukumu kwa walichokifanya.
"Ukiona mchezaji anacheza Manchester United usidhani kama huyo ni shabiki wa timu hiyo, hapo yuko kwenye ajira, hata hawa wa hapa kwetu Simba na Yanga, pale wako kazini sio washabiki, sasa watanzania achaneni na hao wanaharakati walioko nje ya nchi"
miguno ya kila aina tutaisikia wallah.Tushakubaliana kila mtu afanye kazi yake, sisi wananchi tulishakubali kufanya yetu, mbona kelele nyingi guys.............guys..............
Ijapokuwa uchaguzi uliomuingiza madarakani ni wa mchongo, hii sio aina ya uongeaji unaotarajiwa kutoka kwa waziri mkuu. Anaweza kujenga hoja bila kuwatukana watu hata kama anadhani wanafikiri kwa kutumia kamasi. Kama yeye anajiona ana akili kuliko mtu yeyote katika nchi hii, aache kuwatukana watu. Akae tu akili zake ambazo zina faida kwake na kwa familia yake. Akili zake ni kwa faida yake na familia yake. Matusi sio kitu kizuri, yasa kutoka kwa kiongozi wa nchi.Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, emewashangaa wanaharati wanaohimiza watanzania kuacha kusikiliza nyimbo na kuhudhuria matamasha yanayowahusisha wasanii wa Tanzania kwakuwa waliiunga mkono CCM Kwenye kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025.
Akizungukza na wa wakazi wa Tunduma mkoani Songwe leo Disemba 17, 2025, Dkt. Mwigulu amesema walichokifanya wasanii sio kibaya kwakuwa hiyi ni ajira yao inayowaingizia kipato hivyo si vyema kuwahukumu kwa walichokifanya.
"Ukiona mchezaji anacheza Manchester United usidhani kama huyo ni shabiki wa timu hiyo, hapo yuko kwenye ajira, hata hawa wa hapa kwetu Simba na Yanga, pale wako kazini sio washabiki, sasa watanzania achaneni na hao wanaharakati walioko nje ya nchi"
Pesa zitakuja watoa roho walai!