Mwigulu Nchemba: Mwaka 1991 hadi 2018, Umasikini Umepungua, kiwango cha mahitaji ya msingi kikishuka kwa 13.6%

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Waziri wa Fedha Dr. Mwigulu Nchemba amehutubia bunge kuhusu hali ya Umaskini kupungua nchini
===

"Takwimu rasmi zinaonesha kuwa kati ya mwaka 1991 na 2018, umasikini umepungua, mathalani katika kipindi hicho cha marejeo, asilimia ya watu waliokuwa wakiishi katika umasikini wa hali ya juu (umasikini wa chakula) ilipungua kwa kiasi kikubwa, kutoka asilimia 21.6 hadi asilimia 8, huku kiwango cha umasikini wa mahitaji ya msingi kikishuka kutoka asilimia 38.6 hadi asilimia 26.4,"-Dkt Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha akisoma Bajeti Kuu ya Serikali 2025-26 bungeni jijini Dodoma.

Chanzo: ITV TANZANIA
 
Attachments

  • Screenshot_20250612-171913_Instagram.jpg
    Screenshot_20250612-171913_Instagram.jpg
    666.7 KB · Views: 24
Waziri wa Fedha Dr. Mwigulu Nchemba amehutubia bunge kuhusu hali ya Umaskini kupungua nchini
===

"Takwimu rasmi zinaonesha kuwa kati ya mwaka 1991 na 2018, umasikini umepungua, mathalani katika kipindi hicho cha marejeo, asilimia ya watu waliokuwa wakiishi katika umasikini wa hali ya juu (umasikini wa chakula) ilipungua kwa kiasi kikubwa, kutoka asilimia 21.6 hadi asilimia 8, huku kiwango cha umasikini wa mahitaji ya msingi kikishuka kutoka asilimia 38.6 hadi asilimia 26.4,"-Dkt Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha akisoma Bajeti Kuu ya Serikali 2025-26 bungeni jijini Dodoma.

Chanzo: ITV TANZANIA
Mnyambo wa kyerwa vipi mahitaji yako ya msingi yapo sawa?
 
Back
Top Bottom