Tajiri mkopeshaji
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 613
- 1,445
Utataja vitengo vyote vinavyohusika na mikopo but hakuna atayehusika na upumbavu wako...jipambanie mwenyewe kwa kutokopa sio kusubiri wanaume wenzako wakusaidie!!Utadhani hakuna serikali. BOT, TCRA na ile Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) kazi yao ni kutoa matamko tu ila hakuna cha maana wanachofanya.