Tajiri mkopeshaji
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 613
- 1,445
Utataja vitengo vyote vinavyohusika na mikopo but hakuna atayehusika na upumbavu wako...jipambanie mwenyewe kwa kutokopa sio kusubiri wanaume wenzako wakusaidie!!Utadhani hakuna serikali. BOT, TCRA na ile Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) kazi yao ni kutoa matamko tu ila hakuna cha maana wanachofanya.
Ni wajinga ndio.. ndio maana mnakopeshwa pesa,,hamna balance za kujikimu wenyewe na matatizo yenu...hata riba zikipunguzwa mtaendelea kuwa watumwa wetu tu hadi mfe..Nape msituifanye watanzania wajinga, kama mko serious, kwanini msianze na hii mitandao ya simu kubwabaini hao wewnye haya makampuni?
Majibu yako kwa Spika ni unafiki mtupu.
Tafuta pesa acha makasiriko!!!Ukifuatilia baadhi ya mambo utagundua nchi hii hatuna viongozi kabisa bali kuna kundi la watu wenye kutafta maslahi yao karibu secta zote kwa kiufupi hakuna kitu
Acha kukopa hujalazimishwa... matatizo Yako na shida zako ndio zinakupeleka uko!!Unajua upuuzi wanaofanya hawa watu?
Wanawakopesha kwa siku 7, halafu ikifika siku ya 5 wanaanza kuwadai tena kwa kutumia vitisho na ukichelewa kulipa hata kwa siku 1 au 2 taarifa zako wanazisambqza mitandaoni.
Acheni kutetea hawa wahuni.
Serikali imeona malalamiko yenu ni ya kipuuzi..thus why wanasema hawatekelezi...Hili jambo halina nsukumo kabisa. Labda mpaka siku litokee tatizo kubwa au wapinzani walishikie bango ndio serikali itashituka.
Tupe mbinuNshawatapeli Sana hao,nasubiri wajichanganye tena
Wewe ndio mtu wa ovyo ndio maana unanuka madeni..usituunganishe humo na sisi...Nchi ya hovyo sana hii.
Ni suala la muda tu lo
Kopa mpaka zifike nyingi,usilipe,riba gani 51%Tupe mbinu