Tetesi: Mwigulu Nchemba na Januari Makamba wakutana kikao cha dharura baada ya Bunge kutoa mwongozo wa Luhaga Mpina

Kuna watu wapumbavu, yaani mtu smart makamba na mwamba jasiri mwigulu wakae kumjadili mpina?!!!!!! Acheni siasa zenu za kijinga hizo......kibongobongo hao wameshatoboa na hamuwafikii hata muwachafue vp
Mwamba ni nani? Hao vilaza ndo unawaita mwamba? Wewe ni kichwa maji mkubwa! Hivi unajua hata elimu ya Luhaga Mpina alisomea wapi unadhani ni kilaza kama wewe?
 
Majizi
 
Na huwenda ugumu wa yoye yanayoipata hii serikali, ni kwa sababu ya mawaziri hao wawili,

Ni empty kabisa hao basi tu
Hayo magumu na uhusiano wao nayo ni yapi? Yataje tafadhali ili tuwahukumu kwa haki.
 

Hizi habari za kubumba kama hizi zinaungwa mkono na wajinga wengi sana hicho kikao agenda zake ni zipi nawewe ulikua wapi mda huo wanakutana maeneo gani na walizungumza kitu gani ?

Unadhani ungeandika juu ya baba yako labda kwamba hakukusomesha usingepata wa kukuunga mkono

Maana ujinga unaonekana kichwani mwako wakumlaumu ni mzazi wako pekee !!

Hukusikia majibu ya Mh Mwigulu juu ya Mpina alikua anamshauri tu ulisikia wapi zaidi ya Bungeni ambapo Mwigulu ndipo alipomjibu Mpina ?

Anahofu nini Mpina kwa Mwigulu au Sukuma gege wanaogopa nini kutoka kwa Mwigulu ?

Wenye mvuto siku zote huwa mada kama hivi Mwigulu Nchemba mtatafuta tu namna lazima mumzungumzie .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…