Mwigulu Nchemba na Mawaziri wengine jiandae mikeka bado inatoka Ikulu

Mwigulu Nchemba na Mawaziri wengine jiandae mikeka bado inatoka Ikulu

Boi Manda

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2023
Posts
388
Reaction score
506
Ikulu wametoa taarifa kwa umma juu ya utenguzi wa baadhi ya viongozi kwenye baadhi ya taasisi za Serikali ikiwamo Posta na TTCL kwa viongozi wake wakuu na bodi kuvunjwa

Hiyo ni dalili kuwa bado yamkini hali si shwari kwa baadhi ya mawaziri waliobakia madarakani na wakubwa wengine wanaotumikia nafasi za uteuzi

Pengine mkeka mwingine ukitoka hautamuacha salama waziri wa fedha na Mipango Mwingulu Nchemba na baadhi ya mawaziri na watendaji wengine wa Serikali

Hivi karibuni Ikulu ilitoa mkeka uliowapiga chini mawaziri wawili waandamizi January Makamba na Nape Nnauye

Ubaya Ubwela Comasava
 
Mama Samia Suluhu Hassan. Mteue Ndugu Prof. Geraldine Rasheli wa Bohari za serikali awe katibu mkuu wa wizara ya fedha.
Huko Bohari kuu naona wanabadilika kila siku kwa uongozi wa huyu japo anapelekeahwa na vijana wachawi wa mzumbe huko
Profesa anafanya nini kwenye Bohari za Serikali? Si aende akafundishe chuo kikuu!! Hii ndiyo brain drain
 
Inavosemekana Mwigulu ndio mpiga dili mwenzie so sio rahisi.Na mwigulu anakula saiv hadi kuvimbiwa na kubeua.Baba mwenye ma timu yake na mabus yake mjini.
Huyu ila ipogo siku yake.
Jamani Magu alivowatoaga hawa mandezi kuna kitu alikiona yani Mwigulu alitakiwa kua wa kwanza kufyatuliwa.Mama angezidi kupaa kisiaaa
 
Ikulu wametoa taarifa kwa umma juu ya utenguzi wa baadhi ya viongozi kwenye baadhi ya taasisi za Serikali ikiwamo Posta na TTCL kwa viongozi wake wakuu na bodi kuvunjwa

Hiyo ni dalili kuwa bado yamkini hali si shwari kwa baadhi ya mawaziri waliobakia madarakani na wakubwa wengine wanaotumikia nafasi za uteuzi

Pengine mkeka mwingine ukitoka hautamuacha salama waziri wa fedha na Mipango Mwingulu Nchemba na baadhi ya mawaziri na watendaji wengine wa Serikali

Hivi karibuni Ikulu ilitoa mkeka uliowapiga chini mawaziri wawili waandamizi January Makamba na Nape Nnauye

Ubaya Ubwela Comasava

View: https://www.instagram.com/p/C9ypSPVKLlI/?igsh=MW90emNmNG83NHN4dQ==
 
Back
Top Bottom