Mwigulu Nchemba na Mawaziri wengine jiandae mikeka bado inatoka Ikulu

Ikulu wametoa taarifa kwa umma juu ya utenguzi wa baadhi ya viongozi kwenye baadhi ya taasisi za Serikali ikiwamo Posta na TTCL kwa viongozi wake wakuu na bodi kuvunjwa

Hiyo ni dalili kuwa bado yamkini hali si shwari kwa baadhi ya mawaziri waliobakia madarakani na wakubwa wengine wanaotumikia nafasi za uteuzi

Pengine mkeka mwingine ukitoka hautamuacha salama waziri wa fedha na Mipango Mwingulu Nchemba na baadhi ya mawaziri na watendaji wengine wa Serikali

Hivi karibuni Ikulu ilitoa mkeka uliowapiga chini mawaziri wawili waandamizi January Makamba na Nape Nnauye

Ubaya Ubwela Comasava
Hilo neno yamkini limeua thread yako yote so relax mjomba.
Umeshaambiwa kuwa mwigulu hawezi kutoka pale kwa sababu ni mzee wa kuandika madodoso ya kuwatongoza wazungu, wachina, mpaka wakorea watoe mikopo.
We kuweza ndugu?
 
Ikulu wametoa taarifa kwa umma juu ya utenguzi wa baadhi ya viongozi kwenye baadhi ya taasisi za Serikali ikiwamo Posta na TTCL kwa viongozi wake wakuu na bodi kuvunjwa

Hiyo ni dalili kuwa bado yamkini hali si shwari kwa baadhi ya mawaziri waliobakia madarakani na wakubwa wengine wanaotumikia nafasi za uteuzi

Pengine mkeka mwingine ukitoka hautamuacha salama waziri wa fedha na Mipango Mwingulu Nchemba na baadhi ya mawaziri na watendaji wengine wa Serikali

Hivi karibuni Ikulu ilitoa mkeka uliowapiga chini mawaziri wawili waandamizi January Makamba na Nape Nnauye

Ubaya Ubwela Comasava
Ubaya Ubwela, hahaaaa......................
 
Mama ata mtoa Mwigulu hapo Gz watakapo mzuia kuingia Magogoni.
Mwigulu ni hatari hata kuliko hao alio wapa kadi nyekundu ila Mama ana puuza waajiri wake.
Tukutane 2025
 
Mama anasambaza chuki. Hao viongozi wa mawasiliano wamefanya kosa gani?
Wamefanya kosa kubwa sana la utovu wa nidhamu dhidi ya Mkuu wa Nchi na kiongozi mpya aliyeteuliwa kuwa boss wao. Walitakiwa kumpongeza kiongozi mpya aliyeteuliwa kuwa bosi wao na kuahidi kumpa ushirikiano na siyo kumpongeza kiongozi aliyetumbuliwa na kiongozi mkuu wa nchi. wao walijuaje kama uongozi wake ulitukuka wakati Mkuu wa nchi kaona amepwaya.
 
Mama Samia Suluhu Hassan. Mteue Ndugu Prof. Geraldine Rasheli wa Bohari za serikali awe katibu mkuu wa wizara ya fedha.
Huko Bohari kuu naona wanabadilika kila siku kwa uongozi wa huyu japo anapelekeahwa na vijana wachawi wa mzumbe huko
Vijana hao wa Mzumbe wachawi au machawa?
 
Mama ata mtoa Mwigulu hapo Gz watakapo mzuia kuingia Magogoni.
Mwigulu ni hatari hata kuliko hao alio wapa kadi nyekundu ila Mama ana puuza waajiri wake.
Tukutane 2025
Mchelea Mwana kulia hulia yeye walisema Wahenga
 
Ikulu wametoa taarifa kwa umma juu ya utenguzi wa baadhi ya viongozi kwenye baadhi ya taasisi za Serikali ikiwamo Posta na TTCL kwa viongozi wake wakuu na bodi kuvunjwa

Hiyo ni dalili kuwa bado yamkini hali si shwari kwa baadhi ya mawaziri waliobakia madarakani na wakubwa wengine wanaotumikia nafasi za uteuzi

Pengine mkeka mwingine ukitoka hautamuacha salama waziri wa fedha na Mipango Mwingulu Nchemba na baadhi ya mawaziri na watendaji wengine wa Serikali

Hivi karibuni Ikulu ilitoa mkeka uliowapiga chini mawaziri wawili waandamizi January Makamba na Nape Nnauye

Ubaya Ubwela Comasava
Mama hawezi kufanya ujinga huo kumtoa mwigulu nchemba. Anamjua vizuri sana kama ni mchumi ngulu na ndo kasababisha uchumi kuwa stable namna hii na biashara kushamili wakati kipindi cha jpm biashara nyingi zilifunga zenyewe
 
Safari hii sikosi
 
Kunmbe Mwigulu ni mchumi "ngulu", nimeelewa ndiyo maana tuna pata shida na uchumi wetu
 
Mwigulu hawezi kutolewa hapo inaonekana kabisa amekubali kusubiri 2030.

Hao akina Nape kilichowaponza kinajuliakana.

Nape-alitoa siri za kambi mara kadhaa kuhusu wizi.
January - kampeni ya siri kuhusu urais.
 
madelu.jpg
 
Back
Top Bottom