Ina hitaji timing kubwaMwigulu akiliwa kichwa nitafanya sherehe wiki nzima
Ataachaje kulifahamu? Mwambie aje jamviniDokezo hili britanicca analifahamu au umelishupalia tu???
Kwa raha zako 😄 🤣 😂Dah siku iyo ntafurahi sana....ntakesha bar nikinunulia watu bia
Wa afya sasa ndio kipenzi cha bimkubwa hatoki huyo ng'oo take it from meNCHEMBA hawez toka ! Nina taarifa Ila huyo wa afya mmmmm
Tunachezeshwa ngoma za Unguja kizimkazi dogoUjinga mtupu
mnachezeshwa ngoma ya sindimba
Anajua mwenyewe nafikiri anasafisha nyumba yake iwe safiMama anasambaza chuki. Hao viongozi wa mawasiliano wamefanya kosa gani?
Profesa anafanya nini kwenye Bohari za Serikali? Si aende akafundishe chuo kikuu!! Hii ndiyo brain drainMama Samia Suluhu Hassan. Mteue Ndugu Prof. Geraldine Rasheli wa Bohari za serikali awe katibu mkuu wa wizara ya fedha.
Huko Bohari kuu naona wanabadilika kila siku kwa uongozi wa huyu japo anapelekeahwa na vijana wachawi wa mzumbe huko
You will be suprised, nchemba ndio kipenzi ila huyo wa afya na wengine siku zao zinahesabikaWa afya sasa ndio kipenzi cha bimkubwa hatoki huyo ng'oo take it from me
Ikulu wametoa taarifa kwa umma juu ya utenguzi wa baadhi ya viongozi kwenye baadhi ya taasisi za Serikali ikiwamo Posta na TTCL kwa viongozi wake wakuu na bodi kuvunjwa
Hiyo ni dalili kuwa bado yamkini hali si shwari kwa baadhi ya mawaziri waliobakia madarakani na wakubwa wengine wanaotumikia nafasi za uteuzi
Pengine mkeka mwingine ukitoka hautamuacha salama waziri wa fedha na Mipango Mwingulu Nchemba na baadhi ya mawaziri na watendaji wengine wa Serikali
Hivi karibuni Ikulu ilitoa mkeka uliowapiga chini mawaziri wawili waandamizi January Makamba na Nape Nnauye
Ubaya Ubwela Comasava