Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
Hahahahaaa mkuu, hao jamaa niliowa-tag sijafanya hivyo kuwa kupenda ila nimelazimika kwa maana walinikejeli sana siku nilipoandika humu kuwa tozo zinapaswa kuendana na uzito wa kosa.Nitag na mimi basi
Tena saaana mzee babaWazo zuri sana hili.
TAKUKURU wanajitahidi sana katika kuzuia na kupambana na rushwaUkikamatwa na askari badala ya kumuhonga elfu 5 Mpaka 10 ni bora utoe elfu 10 akuchanie mkeka serikali ifaidi badala ya hawa maafande wapenda rushwa.
Baby mambo?
Uzito wa kosa...mfano bajaj kapita taa nyekundu na mimi na Vitz nimepita taa nyekundu, kosa si lile lile? Inakuwaje huyu alipe 10,000 na yule 30,000?! Bodaboda na bajaj pamoja na faini 30,000 ndio wavunja sheria wakuu sasa kuwapunguzia hadi 10,000 si ndio watatumaliza?!!Hahahahaaa mkuu, hao jamaa niliowa-tag sijafanya hivyo kuwa kupenda ila nimelazimika kwa maana walinikejeli sana siku nilipoandika humu kuwa tozo zinapaswa kuendana na uzito wa kosa.
Kosa la bajaj sio sawa na la mwenye lorry.
Tena tuwe makini sana juu ya hawa watuUzito wa kosa...mfano bajaj kapita taa nyekundu na mimi na Vitz nimepita taa nyekundu, kosa si lile lile? Inakuwaje huyu alipe 10,000 na yule 30,000?! Bodaboda na bajaj pamoja na faini 30,000 ndio wavunja sheria wakuu sasa kuwapunguzia hadi 10,000 si ndio watatumaliza?!!
Mbona wapo wamiliki wengi wa magari wanaoendesha rough sana. Vilevile kuna bodaboda wastaarabu pia.Tena tuwe makini sana juu ya hawa watu
Kwenye msafara wa mamba na kenge wapoMbona wapo wamiliki wengi wa magari wanaoendesha rough sana. Vilevile kuna bodaboda wastaarabu pia.
Good evening jamiiforums
View attachment 1814583
Soma hapa>>> Kwanini tozo kwa makosa ya usalama barabarani zisishabihiane na uzito wa kosa husika?
WAZIRI MWIGULU NCHEMBA LEO BUNGENI
=====
"Mh. Spika napendekeza kupunguza adhabu kwa makosa ya pikipiki na Bajaji kutoka elfu thelathini za sasa hadi elfu kumi kwa kosa moja, lengo ni kuweka adhabu kwa kuzingatia uwezo wa kulipa, vilevile adhabu kwa makosa mengine ya vyombo vya moto zitaendelea kuwa kama zilivyosasa"
View attachment 1814598
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Ni sehemu ya adhabuKwani faini ni sehemu mapato!?