Wakati ni hakimu wa hakiHahahahaaa mkuu, hao jamaa niliowa-tag sijafanya hivyo kuwa kupenda ila nimelazimika kwa maana walinikejeli sana siku nilipoandika humu kuwa tozo zinapaswa kuendana na uzito wa kosa.
Kosa la bajaj sio sawa na la mwenye lorry.
Watakila buku mbili badala ya 5000/ unawajua vizuri hawa jamaa!??TAKUKURU wanajitahidi sana katika kuzuia na kupambana na rushwa
Hata mm nimelishangaa hiliUzito wa kosa...mfano bajaj kapita taa nyekundu na mimi na Vitz nimepita taa nyekundu, kosa si lile lile? Inakuwaje huyu alipe 10,000 na yule 30,000?! Bodaboda na bajaj pamoja na faini 30,000 ndio wavunja sheria wakuu sasa kuwapunguzia hadi 10,000 si ndio watatumaliza?!!
Ndio!?? Source of government income!!!Kwani faini ni sehemu mapato!?
Ndio maana tunabambikiziwa ili kutunisha mapatoNdio!?? Source of government income!!!
Kuna police traffic mmoja aliwahi kunipiga fine 60,000/= eti nina makosa mawili. Hivi kwa hizi gari seconda hand za Japan, unaweza usiwe na kosa? Magari yenyewe mabovu yanaweza kuwa na makosa hata 20, lakini busara lazima itumike na alipaswa kuandika kosa moja tu 30,000/= baaas.Ndio maana tunabambikiziwa ili kutunisha mapato
Poa mzee babaAhsante kwa muongozo mkuu
Ulikuwaga bodaboda mkuu? Nakuonaga mtoto wa kishua sana ujue?Amejibu vizuri maana hii kazi niliwahi kuifanya
Ila huku mbona hawaonekanagi wawanase hawa jamaa wakipokea mlungula kweupeTAKUKURU wanajitahidi sana katika kuzuia na kupambana na rushwa
Hapo serekali imesha liangalia hilo jambo kisawasawa, maana bila shaka sasa serekali itaona pesa za boda bodaNgoja wataalamu wa falsafa ya adhabu jinai waje kutujuza, kuongeza au kupunguza adhabu ni kipi kinapunguza matokeo ya uhalifu? Hapa serikali imeangalia hoja ya kiuchumi (uhimili wa fine) affordability peke yak
Hakika mkuu. Serikali yetu ipo makini sana muda wote.Hapo serekali imesha liangalia hilo jambo kisawasawa, maana bila shaka sasa serekali itaona pesa za boda boda
Tukio lilitokea wapi?Ila pole sanaKuna police traffic mmoja aliwahi kunipiga fine 60,000/= eti nina makosa mawili. Hivi kwa hizi gari seconda hand za Japan, unaweza usiwe na kosa? Magari yenyewe mabovu yanaweza kuwa na makosa hata 20, lakini busara lazima itumike na alipaswa kuandika kosa moja tu 30,000/= baaas.
Sio kwa hao viumbe hawa.!TAKUKURU wanajitahidi sana katika kuzuia na kupambana na rushwa
Kwanini mkuu?Sio kwa hao viumbe hawa.!
TAKUKURU wapo katika wilaya zote za TanzaniaIla huku mbona hawaonekanagi wawanase hawa jamaa wakipokea mlungula kweupe
Hahahaaaaaa, wahusika wameona inafaa mkuuWell, ila bado madhara ya uvunjifu wa sheria za barabarani hayana uhusiano na ukubwa wa chombo cha moto, siungi mkono hoja