technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Mwigulu nchemba ambaye ni waziri wa mambo ya ndani alete majibu kupotea kwa Ben Saanane na Maiti saba mto Ruvu,Mauaji ya police Mbagala,Mauaji watu Soweto,Ugaidi wa Lwakatale.
Amekuwa mtu asiyeaminika kwenye jamii toka zamani.
Mara jina lake lina utata,Mara alikuwa akifuga Lasi.
Sasa hivi kafikisha tuhuma karibu tano za kuusishwa na mauaji pamoja na ugaidi na wizi.
Pale soweto aliposema anao ushaidi wa chadema walivyofanya mauaji cha ajabu mpaka leo pamoja na kuwa ni waziri wa wizara usika bado hajatoa ushahidi huo,Ndugu zetu walipotea hapo.
Alisema Lwakatale ni Gaidi na anao ushaidi kesi ikaenda mpaka ikaisha wala hakutoa ushaidi Mimi naweza kusema labda na yeye ni gaidi kwani bila kuwa gaidi unawezaje kumjua gaidi mwenzio?.
3: Kifo cha police Mbagala bado inaonekana kabisa kausika kwa sababu alipata wapi muda wa kuwa wa kwanza kufika kwenye tukio huku akiwa kavalia nguo za kipolisi wakati yeye sio police?.
4: Sasa hivi Vifo vya watu saba wanazikwa kama wanyama bila kutambuliwa, wakati huo tunatengeneza tension kwa wanafamilia ya Ben Saanane. Kwanini uzike watu bila kitambuliwa?
Kwanini uwe wa kwanza kufika kwenye tukio la kuuawa kwa police Mbagala?.
Kwanini useme una ushaidi kuwa Lwakatale ni Gaidi na ushindwe kuupeleka mahakamani?
Kwanini useme una ushaidi kuwa chadema waliusika na mauaji Soweto ushindwe kuleta ushaidi wakati sasa hivi wewe ni waziri wa mambo ya ndani?
======
Majibu ya Waziri Mwigulu Nchemba:
Kupotea kwa Ben Saanane: Hoja za wananchi, kinachoendelea na maoni ya Waziri Mwigulu