Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
- #21
Ha ha ha!Katika mawaziri wachache wanaojitqmbua. Bashe akiwa mmoja wapo ana behave kama waziri muda wote akitoa maelezo ana figure, data from credible government sources na justification.
Bashe pia anapokwaruzana na watu huko serikalini ana maelezo ya sababu za kisera kwanini anawavaa. Also it must be said mipango yake uwa ni ovyo kutokana na limitations zake to how things work. Matokeo yake mwisho wa siku anaishiaga kubomoa zaidi kuliko kujenga. But still he comes across as ministerial figure to how he represent himself.
Huyo Mwigulu hana tofauti na Steve Nyerere anaetuambia SGR ipo majaribioni muda si mrefu tutaenda mwanza kwa siku moja. Haya ndio aina ya mambo Mwigulu anayoongelea mara nyingi ropo ropo kama chawa wa mtaani na sio mtu mwenye mamlaka makubwa serikalini.
Duh...!
Mwigulu upepo wa hewa ya joto kama Steve Nyerere!