Mwigulu Nchemba-Out of touch. Anasema hakuna wizi serikalini, Rais ampa mfano wa mtandao wa wizi Mbeya

Ha ha ha!
Duh...!
Mwigulu upepo wa hewa ya joto kama Steve Nyerere!
 
Usipende kukurupuka, Waziri wa Fedha Hawajibiki kukusanya Wala Kusimamia Fedha za Halmashauri.Huko ni watu wa Tamisemi ndio wahusika.

Pili namshangaa Rais kuwa busy na Halmashauri wakati Kuna vyanzo vingine vya hela watu wanakula tuu na hakuna wa kuwafuatilia.ila.wamekomaa na Halmashauri tuu Ili kukamua Wananchi lakini kwenye Madini,mifugo,Utalii,uvuvi ,nk Kuna mabilioni yanapotea
 
Kw hiyo Rais Samia kakurupuka kumkanusha Mwigulu.
Na Mwigulu akisema hela ya SERIKALI haiibiwi, anamaanisha serikali ipi?
 
Mwigu hataki kuwaudhi CCM ili yule mwanaye asije kuondolewa kwenye Pdf hapo baadae.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…