Mwigulu Nchemba-Out of touch. Anasema hakuna wizi serikalini, Rais ampa mfano wa mtandao wa wizi Mbeya

Mr Number E Madelu anazingua sana!
 
Wote ni wale wale tu. Muulize hiyo mbolea ya ruzuku iko wapi?
 
Wote ni wale wale tu. Muulize hiyo mbolea ya ruzuku iko wapi?
Sibiishi hilo ndio maana nikaandika Bashe ana ideas ila uelewa wake wa utekelezaji wa mipango kufikia malengo ndio shida matokeo yake anaishiaga kuitia hasara serikali au kuleta uhaba.

Tatizo lingine analoenda tengeneza ni kwenye sukari, subiri aanze kutoa ivyo vibali vyake kiholela. Badala ya kufikiria kutengeneza mazingira ya perfect competition kwenye uzalishaji wa ndani wa sukari na kuondoa hiyo oligopoly inayozalisha chini ya mahitaji ya nchi kama solution ya kudumu na self sufficient. Mkakati wao ni kwenda kuagiza sukari kwa wingi ambapo inazalishwa bei ya chini na kuja kuleta madhara kwa viwanda vya ndani.

Bashe ni mweupe kwenye maswala ya uchumi na biashara anahitaji watu makini wa kumshauri huko serikalini ana fikra zake za ovyo kweli muda mwingine.
 
Mwigulu ni master mind wa huo wizi. Pesa haiwezi toka hazina kwenda wilayani bila waziri kujua.
Hivyo yatokeayo yote jamaa ndie huagiza
Ila Mama nae ana zengua. Sasa ana tuambia sisi tufanyeje? Maana yeye ana wenye kumpa taarifa wengi kuliko sisi.
 
Mkuu hilo linahitaji utibitisho.
Nilivyomuelew mheshimiwa Rais, Mama Samia, mitandao ya wizi liyopo ni ile ambayo inakusanya miamala kama kodi za vijijini, malipo ya vibali mikoani na hamashauri zake.
Hela hiyo inaigia mifukoni mwa wajanja.

Controller mkuu wa mapato ya serikali ni wizara ya fedha, inaelekea eneo hlo la ukusanyaji wa mapato haiko makini.
 
Rais ana vyombo vya uchunguzi na mwigulu hana vyombo hivyo,ndio maana mfanyabiashara mmoja alimshangaa sana Mwigulu na akahoji Hv alipataje udokta.Watanzania wanapaswa kufahamu kwamba Mwigulu ni sifuri basi ni vile kwa sababu yuko CCM.
 
Kimsingi Mwigulu alitoa an irresponsible statement.
Na kama ana weledi inabidi afuatilie na kutoa matokeo ya uchunguzi juu ya statement ya Rais.
Pili hatua zilizochukuliwa katika sakata hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…