Mwigulu Nchemba: Serikali haina fedha kwa ajili ya kuajiri walimu wapya

Mwigulu Nchemba: Serikali haina fedha kwa ajili ya kuajiri walimu wapya

serikali ya kijani inaongozwa na mtu mmoja mmoja...

sio timu ya watu...

maamuzi kama haya yalikuwa wapi mpaka yatolewe leo? ina maana kipindi chote hicho ndugu zetu waalimu wanalilia ajira zao, hawakuliona hilo?

NB.. pesa za kuajiri waalimu zipo! kuna wajanja wanazifanyia kazi tu! fikirini kiundani wakuu! kwanini pesa za kuwalipa mishahara wabunge in millions na maposho kibao zipatikane, leo hii waalimu wanakataliwa hivi?

lazima kuna mdudu yuko wizarani ama serikalini..

waalimu wako weak sana! huo ndio mwanya unaotumika kuwakandamiza na kuwanyanyasa!
 
mijitu mingine migumu sana kuelewa mtoa post katafsiri kinadharia kabisa walimu kutopangiwa vituo maana yake haijawaajiri na haina fedha za kuwalipa, mishahara na fedha ya kuanzia, kuhusu wazabuni wa serikali ni kweli hatujalipwa ndo maana miradi mingi imestop, hazina iko empty fedha nyingi imeingia ktk vitambulisho vya utaifa na mchakato wa katiba, msiwe na jazba
 
serikali ya kijani inaongozwa na mtu mmoja mmoja...

sio timu ya watu...

maamuzi kama haya yalikuwa wapi mpaka yatolewe leo? ina maana kipindi chote hicho ndugu zetu waalimu wanalilia ajira zao, hawakuliona hilo?

NB.. pesa za kuajiri waalimu zipo! kuna wajanja wanazifanyia kazi tu! fikirini kiundani wakuu! kwanini pesa za kuwalipa mishahara wabunge in millions na maposho kibao zipatikane, leo hii waalimu wanakataliwa hivi?

lazima kuna mdudu yuko wizarani ama serikalini..

waalimu wako weak sana! huo ndio mwanya unaotumika kuwakandamiza na kuwanyanyasa![/QUO]

Pamoja na kulipwa pesa nyingi, wabunge ni wachache ukilinganisha na walimu. Ajira kwa walimu zipo tu!!!! Wasihofu
 
wakuu naibu waziri wa fedha mh mwigulu nchemba amekaririwa akitamka wazi kuwa serikali kwa sasa inakabiliwa na ukata wa fedha na hivyo kushindwa kuwaajiri walimu wapya kwa kuwa haina fedha za kuwalipa stahiki zao, pia kutokana na ukata huo wazabuni mbalimbali pamoja na makandarasi hawajalipwa hadi sasa achilia mbali madeni ya walimu ambao wanaidai serikali mabilioni ya fedha.

Hivyo ndugu zangu walimu mnaokaa nyumban kusubiria ajira mtasubiri sana mwaka huu

source: Gazeti la mwananchi la leo

weka mbali na watoto huo uzi!
 
Kwa kauli za Mwigulu hii miaka 2 tutaiona MINGI! Jamaa hujui kama yeye sasa kawa Naibu Waziri! Anaropoka tu!
 
Akili yake ndo ilivyomtuma mwacheni adanganye tu ajifurahishe, maana sisi walimu hatuna hofu sana hatakama watachelewa ila si tungali twahitajika.
 
mijitu mingine migumu sana kuelewa mtoa post katafsiri kinadharia kabisa walimu kutopangiwa vituo maana yake haijawaajiri na haina fedha za kuwalipa, mishahara na fedha ya kuanzia, kuhusu wazabuni wa serikali ni kweli hatujalipwa ndo maana miradi mingi imestop, hazina iko empty fedha nyingi imeingia ktk vitambulisho vya utaifa na mchakato wa katiba, msiwe na jazba
bajet ilipangwa kwa kila shughuli itakayofanyika mwaka huuu so pesa ya waalimu haiwez pelekwa uko unakosema.coz kila sekta inabajet yake
 
Back
Top Bottom