Mnaisubiria meli uwanja wa ndege
hii post ni ya 2014 haina uhusiano wowote na 2015 hivyo jaribuni hata kuangalia mada imeanzishwa lini na sio kuachangia kishabiki na wakati mwingine nashindwa kuelewa nini maana ya great thinkers maana inakera sana kuona mtu hajengi hoja ya msingi zaidi ya kejeli na dharau juu ya wengine na pia tukumbuke maisha ni kuchagua ndio maana kuna waliosomea ualimu,uhandisi,sheria ,utawala ,uhasibu hivyo kama wewe ulisomea fani nyingine tofauti na ualimu sio sababu ya kumkejeli mwenzako sababu maisha ni kuchagua na pia chakwako hakimsaidii.