Mwigulu Nchemba: Serikali haina fedha kwa ajili ya kuajiri walimu wapya

serikali ya kijani inaongozwa na mtu mmoja mmoja...

sio timu ya watu...

maamuzi kama haya yalikuwa wapi mpaka yatolewe leo? ina maana kipindi chote hicho ndugu zetu waalimu wanalilia ajira zao, hawakuliona hilo?

NB.. pesa za kuajiri waalimu zipo! kuna wajanja wanazifanyia kazi tu! fikirini kiundani wakuu! kwanini pesa za kuwalipa mishahara wabunge in millions na maposho kibao zipatikane, leo hii waalimu wanakataliwa hivi?

lazima kuna mdudu yuko wizarani ama serikalini..

waalimu wako weak sana! huo ndio mwanya unaotumika kuwakandamiza na kuwanyanyasa!
 
mijitu mingine migumu sana kuelewa mtoa post katafsiri kinadharia kabisa walimu kutopangiwa vituo maana yake haijawaajiri na haina fedha za kuwalipa, mishahara na fedha ya kuanzia, kuhusu wazabuni wa serikali ni kweli hatujalipwa ndo maana miradi mingi imestop, hazina iko empty fedha nyingi imeingia ktk vitambulisho vya utaifa na mchakato wa katiba, msiwe na jazba
 
 

weka mbali na watoto huo uzi!
 
Kwa kauli za Mwigulu hii miaka 2 tutaiona MINGI! Jamaa hujui kama yeye sasa kawa Naibu Waziri! Anaropoka tu!
 
Akili yake ndo ilivyomtuma mwacheni adanganye tu ajifurahishe, maana sisi walimu hatuna hofu sana hatakama watachelewa ila si tungali twahitajika.
 
bajet ilipangwa kwa kila shughuli itakayofanyika mwaka huuu so pesa ya waalimu haiwez pelekwa uko unakosema.coz kila sekta inabajet yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…