johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahaaaaaa........ halafu mwandiko ni ule ule kwenye madaraja yote kuanzia Mtwara hadi Bukoba!John una vituko sana! Sasa nini sababu ya kum cc Wakudadavuwa? Hujui alishatemwa toka anyang'anywe ofisi na Kange? Usicheze na Wakudadavuwa katika maslahi! Yeye anataka matawi ya juu mwenzake.
Anyway tuache hayo, kwa nini usimshauri ale dili na jasusi ili yale matangazo amuuzie hati miliki wanafuta jina la Mwigulu tuu na kuchomeka Rais 2020 Bernard?
Atajipatia posho ya hatimiliki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ule ni uchafuzi wa mazingira anaweza kulazimishwa na sheria kuyafuta.Labda anayegombea ndio afanye hiyo kazi maana ni rahisi kupata ufadhili au kuingia mfukoni ikiwa unagombea au kama una nia ya kugombea.
Hahahaaaaaa........!
Yamefika mpaka kwenye ile miteremko ya Liamba Liamfipa kule Rukwa.Kwamba badala ya 2015 iandikwe 2020 au umemaanisha nini?
Matangazo haya yanasomeka kwanzia Mbambabay hadi Mugumu. Jamaa alimwaga hela aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Alipata first Class YUDIZIMU.
Senti bai yuzingi tecno T301
Hahahaaaaaa.......... Yeye alipenda kujitambulisha hivyo kabla hajawa Dokta!Logically kupata Daraja la Kwanza ndiyo Kipimo tosha kuwa fulani ni Mwerevu au Msomi sana? Waswahili tuna taabu sana tu.
Acha dharau wewe huijui kesho yakeTuliza pupa bwana Ccm inautaratibu wake
Utapasuka mishipa na atapitishwa Mwigulu na atawachakaza chadomo
Sent using Jamii Forums mobile app
MsameheAcha dharau wewe huijui kesho yake
Sio kitila kumbeTuliza pupa bwana Ccm inautaratibu wake
Utapasuka mishipa na atapitishwa Mwigulu na atawachakaza chadomo
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaaaKiboko yake Makongoro. Mtu tumekuonjesha tu unaibu Katibu Mkuu na ww unajidai!
Ww ni nani? Ha ha ha Makongoro bhana nomaaa