Mwigulu Nchemba: Tanzania ina mabilionea 5740, mabilionea 115 wanamiliki 28% ya utajiri wote wa mabilionea

Waziri jinga kweli hivi anajua Maana ya bilionea?

Mtu anayemiliki 1 bilion US dollar
 
According to Mwigulu. Mtu akiwa na vyerehani 3 ni bilionea tayari
 
Wananchi wanamuangalia mwakilishi wao anauliza swali bungeni Tanzania kuna mabiliomea wangapi..
 
Nchi nzima ina Millionaires 5000+
Billionaire 1
 
Mwigulu toka aharibu kwenye ishu ya Tozo na malipo ya kodi ya viwanja kwenye Luku basi karma ni kama inamtafuna anakuja na majibu ya hovyo hata mtoto mdogo awezi kujibu na huyo ni PhD sasa angekua na Elimu za chini sijui ingekuaje...
 
Zaramo
 
Wakati mwingine naamini wanasiasa huwa wanapindisha maneno makusudi ili wa trend kwenye media.
Au spika alimwambia ana sekunde 2 tu za kujibu swali ndio maana alifupisha hivyo.
 
Ni sawa tu maana hata yule aliyewahi kuwa waziri wa viwanda na biashara aliwahi kusema ukimiliki cherahani mbili ni kiwanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…