Mwigulu Nchemba: Tanzania ina mabilionea 5740, mabilionea 115 wanamiliki 28% ya utajiri wote wa mabilionea

Mwigulu Nchemba: Tanzania ina mabilionea 5740, mabilionea 115 wanamiliki 28% ya utajiri wote wa mabilionea

According to Mwigulu. Mtu akiwa na vyerehani 3 ni bilionea tayari
 
Wananchi wanamuangalia mwakilishi wao anauliza swali bungeni Tanzania kuna mabiliomea wangapi..
 
Nchi nzima ina Millionaires 5000+
Billionaire 1
 
Mwigulu toka aharibu kwenye ishu ya Tozo na malipo ya kodi ya viwanja kwenye Luku basi karma ni kama inamtafuna anakuja na majibu ya hovyo hata mtoto mdogo awezi kujibu na huyo ni PhD sasa angekua na Elimu za chini sijui ingekuaje...
 
Sorry ivi Kingwendu huigiza lafudhi ya kabila gani? Masanja lafudhi yake huiguza Wasukuma, na Mpoki huigiza Wahaya. Je huyo anatupatia reflection ya kabila gani?

Ikimbukwe Makabila ni kivutio na ni Historia ya mankind, kuikata hiyo hulenga tu kuilinda jamii ndogo against kubwa!
Zaramo
 
Hata mama lishe nao ni mabilionea
20211007_133333.jpg
 
Mwigulu toka aharibu kwenye ishu ya Tozo na malipo ya kodi ya viwanja kwenye Luku basi karma ni kama inamtafuna anakuja na majibu ya hovyo hata mtoto mdogo awezi kujibu na huyo ni PhD sasa angekua na Elimu za chini sijui ingekuaje...
Wakati mwingine naamini wanasiasa huwa wanapindisha maneno makusudi ili wa trend kwenye media.
Au spika alimwambia ana sekunde 2 tu za kujibu swali ndio maana alifupisha hivyo.
 
Ni sawa tu maana hata yule aliyewahi kuwa waziri wa viwanda na biashara aliwahi kusema ukimiliki cherahani mbili ni kiwanda
 
Back
Top Bottom