Mwigulu Nchemba: Tanzania ina mabilionea 5740, mabilionea 115 wanamiliki 28% ya utajiri wote wa mabilionea

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mabilionea wa Tzs ni wengi sana. Pengine kuzidi hiyo 5000.
 
Ndiyo upuuuzi unaozungumzwa bungeni,, ndiyo maana linakosa mvutooooo!!!
 
Dunia ina bilionea 2,755 pekee kwenye us dollars, japo hajasema ila ni Tshs
Kwenye hiyo orodha ambayo imetolewa na gazeti la Forbes la March, 2021, Tanzania kuna bilionea mmoja tu. Kwa kila watu milioni moja hapa Tanzania kuna bilionea 0.017. Kigezo kilichotumika ni Dola za Kimarekani. Tukiambiwa Kigezo cha fedha iliyotumika itasaidia katika kufanya ulinganishi. Kiukweli kama Kigezo ni fedha ya kitanzania basi mabilionea ni zaidi ya hao 5740.
 
Hawa Mabilionea wa Mwigulu ni wa Tsh au USD?

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
 
Katika hao mabilionea Sabaya yumo?
 
Huko Bungeni naona wamekosa mambo ya msingi ya kufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…