Mwigulu Nchemba: Tanzania ina mabilionea 5740, mabilionea 115 wanamiliki 28% ya utajiri wote wa mabilionea

Vikao vya bunge vinaendelea mjini Dodoma na miongoni mwa maswali ya leo, ni swali linalohusu mabilionea waliopo Tanzania kwenda kwa wizara ya fedha.

Swali(Rashid Shangazi): Tuna idadi ya watu takribani milioni 55 wenye madaraja tofauti ya uchumi, katika idadi hiyo kuna mabilionea wangapi?

Waziri wa fedha(Mwigulu Nchemba): Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na TRA unaonyesha duniani kuna mabilionea milioni 14 na kwa mujibu wa ripoti ya RBC wealth management bara la Afrika pekee lina mabilionea 140,000 sawa na asilimia 1 ya mabilionea duniani.

Tanzania ina mabilionea 5740 ambao wanamiliki 4.2% ya utajiri katika kundi la mabilionea wa Afrika. Katika mabilionea hao ni 115 sawa na 2% wanaomiliki zaidi ya asilimia 28 ya utajiri wote wa mabilionea wanaotoka Tanzania
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Ndiyo upuuuzi unaozungumzwa bungeni,, ndiyo maana linakosa mvutooooo!!!
 
Dunia ina bilionea 2,755 pekee kwenye us dollars, japo hajasema ila ni Tshs
Kwenye hiyo orodha ambayo imetolewa na gazeti la Forbes la March, 2021, Tanzania kuna bilionea mmoja tu. Kwa kila watu milioni moja hapa Tanzania kuna bilionea 0.017. Kigezo kilichotumika ni Dola za Kimarekani. Tukiambiwa Kigezo cha fedha iliyotumika itasaidia katika kufanya ulinganishi. Kiukweli kama Kigezo ni fedha ya kitanzania basi mabilionea ni zaidi ya hao 5740.
 
Vikao vya bunge vinaendelea mjini Dodoma na miongoni mwa maswali ya leo, ni swali linalohusu mabilionea waliopo Tanzania kwenda kwa wizara ya fedha.

Swali(Rashid Shangazi): Tuna idadi ya watu takribani milioni 55 wenye madaraja tofauti ya uchumi, katika idadi hiyo kuna mabilionea wangapi?

Waziri wa fedha(Mwigulu Nchemba): Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na TRA unaonyesha duniani kuna mabilionea milioni 14 na kwa mujibu wa ripoti ya RBC wealth management bara la Afrika pekee lina mabilionea 140,000 sawa na asilimia 1 ya mabilionea duniani.

Tanzania ina mabilionea 5740 ambao wanamiliki 4.2% ya utajiri katika kundi la mabilionea wa Afrika. Katika mabilionea hao ni 115 sawa na 2% wanaomiliki zaidi ya asilimia 28 ya utajiri wote wa mabilionea wanaotoka Tanzania
Hawa Mabilionea wa Mwigulu ni wa Tsh au USD?

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
 
Vikao vya bunge vinaendelea mjini Dodoma na miongoni mwa maswali ya leo, ni swali linalohusu mabilionea waliopo Tanzania kwenda kwa wizara ya fedha.

Swali(Rashid Shangazi): Tuna idadi ya watu takribani milioni 55 wenye madaraja tofauti ya uchumi, katika idadi hiyo kuna mabilionea wangapi?

Waziri wa fedha(Mwigulu Nchemba): Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na TRA unaonyesha duniani kuna mabilionea milioni 14 na kwa mujibu wa ripoti ya RBC wealth management bara la Afrika pekee lina mabilionea 140,000 sawa na asilimia 1 ya mabilionea duniani.

Tanzania ina mabilionea 5740 ambao wanamiliki 4.2% ya utajiri katika kundi la mabilionea wa Afrika. Katika mabilionea hao ni 115 sawa na 2% wanaomiliki zaidi ya asilimia 28 ya utajiri wote wa mabilionea wanaotoka Tanzania
Katika hao mabilionea Sabaya yumo?
 
Huko Bungeni naona wamekosa mambo ya msingi ya kufanya.
 
Back
Top Bottom