Sildenafil Citrate
JF-Expert Member
- Jan 29, 2021
- 577
- 2,595
non sense, vituo vya afya na madarasa yaliyojengwa yatumike kwanza at maxmum na tunajenga kwa kodi zetu sio wizi na kupiga roba wananchi.Waziri wa fedha Mhe. Mwigulu Nchemba amesema kuwa kiasi kikubwa cha pesa zinazokusanywa kwenye tozo zinarudi kwa wananchi wenyewe kupitia shughuli za uzalishaji mali.
Ametolea mfano wa fedha zinazotolewa kwenye kilimo na wamachinga, pia amesisitiza kuwa pamoja na machungu ya tozo hizi, ni lazima watanzania tujifunge mkanda kuzikabili ili tuuvunje mnyororo wa umaskini.
Kupitia tozo hizi, Serikali inapanga kuongeza vituo vya afya, kujenga zaidi ya madarasa 8000 mwaka huu ili kuziba pengo lililopo kutokana na ongezeko kubwa la wanafunzi nchini.
Mavi mkojo pumbavuWaziri wa fedha Mhe. Mwigulu Nchemba amesema kuwa kiasi kikubwa cha pesa zinazokusanywa kwenye tozo zinarudi kwa wananchi wenyewe kupitia shughuli za uzalishaji mali.
Ametolea mfano wa fedha zinazotolewa kwenye kilimo na wamachinga, pia amesisitiza kuwa pamoja na machungu ya tozo hizi, ni lazima watanzania tujifunge mkanda kuzikabili ili tuuvunje mnyororo wa umaskini.
Kupitia tozo hizi, Serikali inapanga kuongeza vituo vya afya, kujenga zaidi ya madarasa 8000 mwaka huu ili kuziba pengo lililopo kutokana na ongezeko kubwa la wanafunzi nchini.
Huwezi kumsikia akiongelea kupunguza posho za wabunge na mishahara minonoMatapeli matapeli matapeli. Shule za sekondari za kata zilijengwa kila kata pasipo tozo
Pia posho na mishahara yao ipunguzwe haraka na matumizi ya serikali yashuke kwa 75%Hauwezi kunieleza kuwa kama nchi tunahitaji kujifunga mikanda ili tuinue uchumi. Uchumi upi kama karibu 50% ya tozo mnaitafuna. Pesa yote inaenda kuihudumia matumizi ya serikali. Wewe waziri bila aibu umeenda kuwakilisha bajeti na gari V8 latest ambayo thamani yake si chini ya milioni 500. Guys, you are not ashamed of yourselves. Acheni kuhadaa wanainchi na maelezo ya kujenga mashule na vyoo. Hiyo gari moja uliyojinunulia ingejenga vyoo na shule ngapi. badala yake ina pesa hiyo unaitumia kusafiria kwenda kazini na kurudi nyumbani kwako. Ni upunguani gani huu.
kama tuko serious, tuanze na serikali kubana matumizi. BANENI MATUMIZI, tozo hizi zitakuwa na maana.
Kama??Kuna Majina Nchi hii kwasasa Ukiyasikia Tu Kichwa kinauma kwa Hasira!