Mwigulu Nchemba: TRA inatimiza wajibu wake vizuri, wafanyabiashara walikuwa hawalipi kodi ipasavyo!

Mwigulu Nchemba: TRA inatimiza wajibu wake vizuri, wafanyabiashara walikuwa hawalipi kodi ipasavyo!

Waziri wa katiba na sheria Dr Mwigullu Nchemba amewajibu wabunge wa CCM wanaoilalamikia TRA kwamba taasisi hiyo inatimiza majukumu yake kwa mujibu wa sheria.

Mwigullu Nchemba amesema katika serikali iliyopita wakati akiwa Naibu waziri wa fedha uchumi wetu uliendeshwa kwa kodi za watumishi wa umma kwani wafanyabiashara hasa wakubwa walikuwa hawalipi kodi kabisa.
Wafanyabiashara walikuwa wanakimbilia bodi ya rufani za kodi kujificha lakini awamu hii mambo ya konakona hayapo tena, amesema Mwigullu.

Ikumbukwe kuwa wabunge wa CCM wakiongozwa na Nape Nnauye na Joseph Musukuma walidai kuwa TRA inawaonea wafanyabiashara kwa kutumia task force badala ya wataalamu wa kodi.

Source TBC

Maendeleo hayana vyama!
Iko kuanzisha biashara inalazimika uwe na tin number kutoka tra. Sasa huyu mchora nawe mkoa mzima wa singida akiomba urais akakosa, awambie tra utoe utaratibu wa wazi nini mfanyabiashara anatakiwa kufanya ili afunge biashara yake .ndio utakapoona Hali halisi. Pili wewe inaisha kwa kula siasa, biashara hujawahi kufanya.
 
Swadakta Mhe. Waziri, kuna watu wameumbiwa kulalamika tuuuu! Kama unajua wajibu wako TASK FORCE itadunda kwakua Kila watakapoweka mitego watakuta uko vizuri.

Ila wale wafanyabiashara janja janja, unanunua Mali ya milioni 30 unaandikiwa Risiti ya milioni Moja wacha wafungiwe tu maana namna hakuna.

Nimewahi kuleteana Sana shida na Cashier wa duka Moja mtaa wa Tandamti ameniuzia kiatu cha elfu 90 halafu namdai risiti ananiambia mashine mbovu. Nikamwambia basi nirudishie fedha yangu... Ghafla mashine ikapona na nikapewa Risiti.

Hawa ndio watu Nape anawatetea yaani bureee kabisa. Mabarabara, Mishahara, Madawa vitanunuliwa kwa fedha toka wapi Sasa?
Kwa roho yako ya kimasikini huwezi kununua kiatu cha elfu 90
 
She
Inapendeza sana fitina ikiingia miongoni mwa wanafiki, Wapinzani sasa kando bakora acha zitembee Jiwe shikilia hapo hapo
Shetani hawezi kumkemea shetani mwenzake atoke huko ni kuwafurahisha wajinga.
 
Kuna watu watapotea mapema mno baada ya JPM kuondoka madarakani mmojawapo ni huyu Mwigulu
Hata sasa Jpm ana muona kwa vile ana jichubua na cream. Siku akiacha kuji cream biashara imekata.
Hivi kama alipewa wizara ya mambo ya ndani watu waka okotwa kwenye viroba, leo huko fedha itakuwaje?
Mwigulu haja wahi kuwa kiongozi. Rudieni kumbu kumbu hata alipo kuwa mwenezi Ccm. Uhusiano wa Ccm na vyama vya upinzani ulikuwaje?
 
TUPATE somo la kufunga biashara kisheria.

Checklist for Closing Your Business: 20 Things You Need to Do

Make sure you still follow orderly procedures even if you are forced to abruptly close your business.​

Need Professional Help? Talk to a Tax Consultant and Business Law Attorney.​

Please answer a few questions to help us match you with attorneys in your area.
Is the business public or private?

In ordinary times, it can take months to wind up a business properly. Ideally, you want to create and follow a closing plan that offers the most protection possible to your personal assets, your credit, and your reputation in the community—and to those of your spouse, cosigners, and lenders. However, these are not ordinary times. Due to the unprecedented economic disruption caused by the coronavirus (COVID-19) pandemic, many businesses may have to close permanently in a hurry.

Although your shut-down period may be short, you should still try to give your creditors and customers clear notice of your business's closure. Here's what you need to do. Many of the items below link to another article for more information on the subject.
  1. Collect outstanding accounts receivable (before you notify customers you're going out of business). This may be difficult but attempt to collect as much as possible.
  2. Sell off inventory. If possible, consider a "going out of business" sale. Alternatively, you could donate your inventory to charity
  3. Notify your creditors (suppliers, lenders, service providers, and utilities). Doing this the right way limits the amount of time a creditor can ask for a debt.
  4. Notify your customers and deal with any remaining contractual obligations. Remember to return any deposits or payments for goods not delivered or services not rendered.
  5. Terminate your commercial lease. Give your landlord the required notice stated in your lease -- at least 30 days. Due to the pandemic, some landlords may agree to defer your final lease payment.
  6. Notify and pay your employees. Give employees some notice if possible. If you need an employee to help wind up the business, offer the employee a small bonus to stay until the very end. Plan to pay employees their last paychecks on their last day, with the value of accrued, unused vacation days if your state requires it.
  7. Liquidate your business assets in an orderly fashion.
  8. Settle or pay your debts to the extent possible, prioritized to protect your personal liability -- money owed to your landlord, bank, suppliers, utilities, and service providers. Due to the coronavirus pandemic, some creditors may accept less than the full amount owed in return for prompt payment. Ask for letters indicating that your bills are paid in full as you pay off each creditor.
  9. Make your final payroll deposits.
  10. Submit final sales tax forms and funds due up to the closeout date.
  11. Cancel your business credit cards and subscriptions.
  12. Comply with "bulk sales laws," if required. (If you sold your inventory, you may need to notify your creditors a specific number of days before you close your business, and in some states, to publish a notice of your impending closure in a local newspaper.)
  13. Close your business bank account and any other accounts.
  14. Cancel state or county permits and licenses, including your seller's permit, business license, and fictitious or assumed business name.
  15. File your final employment-related tax returns(TRA)
  16. File your final income tax returns, checking the box stating that this is your final return.
  17. If you sold business assets, file the with TRA, Sales of Business Property, or, if you sell the bulk of your business assets to one buyer, file them with TRA , Asset Acquisition Statement.
  18. Leave contact information with former business contacts, colleagues, and employees.
  19. Carefully distribute any remaining assets to yourself and any other owners.
  20. Dissolve your corporation or LLC or partnership: File the required forms, such as a "certificate of dissolution." You may have to obtain a "tax clearance" first. (This doesn't apply to sole proprietors.)
Siku njema wadau!
 
Waziri wa katiba na sheria Dr Mwigullu Nchemba amewajibu wabunge wa CCM wanaoilalamikia TRA kwamba taasisi hiyo inatimiza majukumu yake kwa mujibu wa sheria.

Mwigullu Nchemba amesema katika serikali iliyopita wakati akiwa Naibu waziri wa fedha uchumi wetu uliendeshwa kwa kodi za watumishi wa umma kwani wafanyabiashara hasa wakubwa walikuwa hawalipi kodi kabisa.
Wafanyabiashara walikuwa wanakimbilia bodi ya rufani za kodi kujificha lakini awamu hii mambo ya konakona hayapo tena, amesema Mwigullu.

Ikumbukwe kuwa wabunge wa CCM wakiongozwa na Nape Nnauye na Joseph Musukuma walidai kuwa TRA inawaonea wafanyabiashara kwa kutumia task force badala ya wataalamu wa kodi.

Source TBC

Maendeleo hayana vyama!
Nitaamini majibu ya Dr. Mpango.
 
Kuna siku naye atafanya biashara maana uwazari sio ajira ya kudumu
 
Hata mimi nimeshangaa huyo boya anawezaje kununua kiatu cha 90,000!
Huwezi kuamini kwakua 90,000 ni mshahara wako wa Mwezi mzima hapo unapouza kongoro.

Alafu silali na deni BOYA mwenyewe
 
Matumizi ya kodi ndiyo yanaleta ukakasi wa kulipa kodi,
Unalipa kodi, hospital dawa hakuna, Barabara hapitiki, hudama mbalimbali zinazotolewa na serikali ni mbovu, vipaumbele vya serikali si vya wananchi, mi uwo ujasiri WA kudai risiti nautoa wapi?
 
Kwa ninyi wajinga wajinga hamumuoni leo Mkuu wa Mkoa wa DSM akilalamika kuwa Dubai ya East Africa, Kariakoo imepotea.
Wateja wake toka Malawi, Zamia, Congo na mikoani wamekimbia kutokana na harrassment ya TRA.

Mpato ya kodi ya matrilioni yamepotea
Hayo yachukueni kama mafanikio.
Hamia Ethiopia mkuu
 
Waziri wa katiba na sheria Dr Mwigullu Nchemba amewajibu wabunge wa CCM wanaoilalamikia TRA kwamba taasisi hiyo inatimiza majukumu yake kwa mujibu wa sheria.

Mwigullu Nchemba amesema katika serikali iliyopita wakati akiwa Naibu waziri wa fedha uchumi wetu uliendeshwa kwa kodi za watumishi wa umma kwani wafanyabiashara hasa wakubwa walikuwa hawalipi kodi kabisa.
Wafanyabiashara walikuwa wanakimbilia bodi ya rufani za kodi kujificha lakini awamu hii mambo ya konakona hayapo tena, amesema Mwigullu.

Ikumbukwe kuwa wabunge wa CCM wakiongozwa na Nape Nnauye na Joseph Musukuma walidai kuwa TRA inawaonea wafanyabiashara kwa kutumia task force badala ya wataalamu wa kodi.

Source TBC

Maendeleo hayana vyama!
Kufunga account za wafanyabiashara kienyeji tena wakati mwingine bila hata kumtaarifu mfanyabiashara huo ndiyo utendaji bora wa TRA? Utakuta mfanyabiashara ana tax Clearence zote waliopita kumkagua ni maofisa wa TRA hao hao wakampa Tax Clearence na Sheria inasema ukaguzi ni miaka 5 nyuma endapo inatokea Tatizo, Cha ajabu Task force wakienda huwabambikia kodi kubwa miaka 12-15 hata zaidi wafanyabiashara kisha kuwatishia kesi za utakatishaji fedha, uhujumu uchumi kutengeneza mazingira ya Rushwa, mwingulu huenda ni mnufaika wa Task force ndiyo maana kaamua kutetea uonevu wa TRA
 
Huwezi kuamini kwakua 90,000 ni mshahara wako wa Mwezi mzima hapo unapouza kongoro.

Alafu silali na deni BOYA mwenyewe

We ngiri huna ujanja wa kuvaa kiatu cha 90,000. Hakuna kiatu cha kushonesha cha 90,000, na ww viatu vyako vyote ni vya kushonesha kwa wapare wa vibarazani.
 
Mimi naamini ipo siku moja Watanzania wote kwa kauli moja tutaafikiana kuna mahali tumekosea, TRA indeleeni kufanya munayofanya ila naamini nanyi pia mupo kwenye hii boti.
Hakuna mabaya yasiyo na mwisho kufunga Account kufunga biashara za wafanyabiashara kisha kuwabambikia kodi kubwa kwa njia haramu za kishetani malipo ni hapa hapa Duniani, huyo mwigulu kaamua kutetea uonevu huo lakini atambue kilio cha wafanyabiashara ni kikubwa na laana yao itamkuta
 
Back
Top Bottom