Mwigulu Nchemba: TRA inatimiza wajibu wake vizuri, wafanyabiashara walikuwa hawalipi kodi ipasavyo!

Nalifikiria kwa makini,
Tanzania huwa hatuko na ujasiri wa kuhama, tunaona waethiopia wengi sana wakihamia South Afrika.
Tutajaribu nchi za karibu, Zambia Malawi na Kenya.
Wafanyabiashara wengi hasa wakubwa wamehamishia biashara zao Nchi Jirani hata pesa zao nyingi hawaziweki kwenye mabenk ya Tanzania ambayo hayapo huru yanaingiliwa na TRA bila kikwazo, wafanyabiashara wengi hawana imani na mabenk ya Tanzania sasa
 
Mwigulu ni mnufaika wa uonevu unyanyasaji wa TRA kwa wafanyabiashara ndiyo maana kajitoa fahamu kaamua kutetea vitu vya uonevu mkubwa
 
Matumizi ya kodi ndiyo yanaleta ukakasi wa kulipa kodi,
Unalipa kodi, hospital dawa hakuna, Barabara hapitiki, hudama mbalimbali zinazotolewa na serikali ni mbovu, vipaumbele vya serikali si vya wananchi, mi uwo ujasiri WA kudai risiti nautoa wapi?
Matumizi ni kujenga chato Airport, mbuga mpya ya wanyama, mwigulu kufufua Timu yake ya Singida UTD kununua vx kwa viongozi wote na mengineyo mengi ya kuuzi zaidi
 
Kama Kigogo 2014 ambavyo huwa anasema hawa kina Mwigulu & co. ni walamba ......za mek..., yaani wanajitoa ufahamu.
 
Waswaga ng'ombe leo ndio wasemaji wa kukussnya revenue. Wanadhani kodi ni sawa na kundi la kondoo.
Mwingulu ana wizara yake badala aboreshe mishahara ya watumishi wa mahakama yupo busy kutetea TRA na uonevu wao wa kufunga biashara, Account za wafanyabiashara kienyeji kwa njia haramu za kishetani
 
We ngiri huna ujanja wa kuvaa kiatu cha 90,000. Hakuna kiatu cha kushonesha cha 90,000, na ww viatu vyako vyote ni vya kushonesha kwa wapare wa vibarazani.
Jitoe akili tu! Mimi sio 90 elfu peke yake hata nikinunua kondom nadai risiti utanieleza nn we mama
 
Umewahi kumiliki mashine ya efd? Au biashara yako tu yeyote?

Manake kama huna biashara nyamaza tu
 
Huyo jamaa anachofanya ni kupalilia kibarua chake,ndio mana kila inshu lazima aidandie na kuikingia kifua serikali
 
Mwigilu amejifunza baada yakutumbuliwa wakati ule akiwa mambo ya ndani,hakuna namna ili yasimkute tena lazima asifu na kuabudu.
 
Mimi ndo sijamwelewa Mwigulu?, Kwamba bodi ya rufani ya kodi ipo kumsaidia mfanyabiashara akwepe kodi????
Ndio ujue aina ya viongozi tulio nao.
Wanafiki wanafiki na in general hata wanachoongea hawakijui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…