Mwigulu Nchemba: TRA inatimiza wajibu wake vizuri, wafanyabiashara walikuwa hawalipi kodi ipasavyo!

Sasa naelewa maneno ya biblia KWANINI watu waliwachukia watoza ushuru na KWANINI walikuwa wakwasi Sana kumbe Ni GENETIC.
 
Huyu mzee ni boya sana kama walikuwa hawalipi mbona JK alikuwa anaajiri kila mara, kupandisha mishahara, kusomesha watumishi, fidia kwa majanga mbalimbali, ujenzi wa miundo mbinu, kununua mazao ya wakulima n.k? hawa ndiyo wanamdanganya dikteta kuwa anafanya vizuri kumbe anaua biashara za watu matokeo yake sisi sekta binafsi hatuna pakupumulia.
 
Huyo Mwigulu ana kampuni yake ya mabasi ya abiria, yanaitwa Tanzanite Bus, akaguliwe na yeye kama anatoa risiti za EFD kwa wanaotuma mizigo.

Yeye mwenyewe mkwepa kodi, hatoi risiti za EFD.
Na Yale ya esther si ni yake pia
 
Ni kweli wanafanya Kazi nzuri Sana ya kuuwa biashara na kuwafanya waishi kishetani
 
Makodi mengi. Mfanyabiashara ana mlundikano wa kodi nyingi. Kiasi kwamba kuna zingine na hali ya kibiashara inakuwa ngumu kuzilipa. Viwango vya kodi, viendane na uharisia wa mtoa kodi. Mtu unafungua biashara umejikopea huko, wanjemba hao.. hawakopeshi
 
Mimi naamini ipo siku moja Watanzania wote kwa kauli moja tutaafikiana kuna mahali tumekosea, TRA indeleeni kufanya munayofanya ila naamini nanyi pia mupo kwenye hii boti.
Hao wanatii maagizo ya mtu mmoja msumbufu.
 
Mungu ibariki JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…