Mwigulu Nchemba: Tsh. Trilioni 5 za Deni la Taifa zimeongezeka kutokana na kushuka kwa Thamani ya Shilingi

Mwigulu Nchemba: Tsh. Trilioni 5 za Deni la Taifa zimeongezeka kutokana na kushuka kwa Thamani ya Shilingi

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Kwenye hizo trillion 90 na uhakika pesa tulizopewa ni kama trillion 40 tu, hizo zingine ni malimbikizo na riba tu, unakuta mkopo alikopa mkapa mpaka Leo unalipwa taratibu, mlimuone magufuli mjinga alivyowaambia kua mzungu hajawahi na hawezi Kuja kumpenda mu africa
 
Tanzania tuna uchumi wa kuagiza tu kila kitu. Lazima pesa iporomoke. Ipo siku dola moja itakuwa sawa na elfu kumi. Sasa hivi dola inakaribia elfu tatu.

Inatakiwa tuwe tunazalisha bidhaa na huduma kwa ajili ya soko la ndani na soko la nje. Zaidi ya hapo tunaelekea $1=Tsh 10,000/=
 
Mwigulu Nchemba amelaumu suala la watu kutumia deni la taifa kisiasa, hivyo ametaja baadhi ya sababu za deni la taifa kuongezeka...
Mwigulu katika ubora wake.

Akiambiwa apambane na hali hiyo anaachia watu wanapiga na mbwembe kibao.

Mwigulu si msikivu hata kidogo. Aikilize japo robo tu ya michango ya Mpina atatoboa.
 
Mwigulu Nchemba amelaumu suala la watu kutumia deni la taifa kisiasa, hivyo ametaja baadhi ya sababu za deni la taifa kuongezeka.

Mwigulu amesema Tsh trilioni 5 zilizoongezeka kwenye deni la taifa ni kutokana na kushuka kwa thamani ya shilingi dhidi ya dola. Amesema suala hilo limetokea kutokana na uchumi wa dunia kushuka.
Kama wame weka hilo angalizo kwenye deni ni sawa , lakini katika muktada huo huo watueleze pia kuongezeka Kwa bajeti Hadi hizo trillioni ni Kiasi Gani limetokana na kushuka thamani ya fedha zetu
 
Mwigulu Nchemba amelaumu suala la watu kutumia deni la taifa kisiasa, hivyo ametaja baadhi ya sababu za deni la taifa kuongezeka.

Mwigulu amesema Tsh trilioni 5 zilizoongezeka kwenye deni la taifa ni kutokana na kushuka kwa thamani ya shilingi dhidi ya dola. Amesema suala hilo limetokea kutokana na uchumi wa dunia kushuka.
Hotuba nzima ni mipasho na kufoka sijaona la maana
 
Tanzania tuna uchumi wa kuagiza tu kila kitu. Lazima pesa iporomoke. Ipo siku dola moja itakuwa sawa na elfu kumi. Sasa hivi dola inakaribia elfu tatu...
Hili ni kweli kabisa, na bill yetu kubwa sana ni mafuta ya petrol, chakula na madawa, hivyo vitu vinachukua pesa zetu zote za kigeni, lakini ukiangalia vizuri, vyakula kama mchele,sukari, mafuta, ngano etc tukiweka mikakati mizuri tunaweza kabisa kukata hiyo bill na kuzalisha wenyewe 100%, mafuta ya petrol pia tunaweza kwa kuanza kuelimisha watu na kuondoa kodi kwenye magari ya umeme na vifaa vya umeme wa jua, bila mikakati mwendo, vitu vingine ni kuweka sheria ya contractors wa highways washirikiane na local contractors ili kuwapa wa kwetu uzoefu na technology transfer ili baadaye tuwalipe in shillings maana kwa sasa tunalipa billions of dollars in road constructions wakati michanga ya kwetu wenyewe, bila mikakati utakuwa ni mwendo wa kurudi nyuma tuu
 
Mwigulu Nchemba amelaumu suala la watu kutumia deni la taifa kisiasa, hivyo ametaja baadhi ya sababu za deni la taifa kuongezeka.

Mwigulu amesema Tsh trilioni 5 zilizoongezeka kwenye deni la taifa ni kutokana na kushuka kwa thamani ya shilingi dhidi ya dola. Amesema suala hilo limetokea kutokana na uchumi wa dunia kushuka.
Ila Mwigulu ukimsikiliza kuna wakati mpaka unajiuliza hivi huyu mchumi kweli!?Yaan hata ChatGPt tu inajua kwann pesa ya Tanzania imeporomoka thamani kuliko Waziri wetu!!!Ni kweli global economy inaweza play a role lakini ni very negligible!!Mwigulu tuambie juu ya imports na exports,tuambie juu ya inflation,vip kuhusu foreign investment!Tuambie juu ya hayo yapoje!Mwigulu wew ni mk**(mkuu)
 
Back
Top Bottom