Mwigulu Nchemba: Tsh. Trilioni 5 za Deni la Taifa zimeongezeka kutokana na kushuka kwa Thamani ya Shilingi

Mwigulu Nchemba: Tsh. Trilioni 5 za Deni la Taifa zimeongezeka kutokana na kushuka kwa Thamani ya Shilingi

Mwigulu Nchemba amelaumu suala la watu kutumia deni la taifa kisiasa, hivyo ametaja baadhi ya sababu za deni la taifa kuongezeka.

Mwigulu amesema Tsh trilioni 5 zilizoongezeka kwenye deni la taifa ni kutokana na kushuka kwa thamani ya shilingi dhidi ya dola. Amesema suala hilo limetokea kutokana na uchumi wa dunia kushuka.

====

Pia soma:

Aseme pia kuongezeka kwa uku wa wa bajeti yetu pia kunasaidiwa na kuporomoka kwa thamani ya pesa yetu. Hilo hawataki kabisa wananchi walisikie.
 
Mwigulu Nchemba amelaumu suala la watu kutumia deni la taifa kisiasa, hivyo ametaja baadhi ya sababu za deni la taifa kuongezeka.

Mwigulu amesema Tsh trilioni 5 zilizoongezeka kwenye deni la taifa ni kutokana na kushuka kwa thamani ya shilingi dhidi ya dola. Amesema suala hilo limetokea kutokana na uchumi wa dunia kushuka.

====

Pia soma:
Wenye Madeni wote wametuzidi Uchumi kasoro Senegal na DRC

View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1808443921996947924?t=-PA1HqQpuItNitqDSwc9Uw&s=19
 
Mwigulu Nchemba amelaumu suala la watu kutumia deni la taifa kisiasa, hivyo ametaja baadhi ya sababu za deni la taifa kuongezeka.

Mwigulu amesema Tsh trilioni 5 zilizoongezeka kwenye deni la taifa ni kutokana na kushuka kwa thamani ya shilingi dhidi ya dola. Amesema suala hilo limetokea kutokana na uchumi wa dunia kushuka.

====

Pia soma:
Huyu fala mvaa bendera bado yupo ofisini anafanya Nini??

Tukisema huyu Kijana atamwangusha mama na ataiangusha nchi uwezo wake ni mdogo sana
 
Kwenye hizo trillion 90 na uhakika pesa tulizopewa ni kama trillion 40 tu, hizo zingine ni malimbikizo na riba tu, unakuta mkopo alikopa mkapa mpaka Leo unalipwa taratibu, mlimuone magufuli mjinga alivyowaambia kua mzungu hajawahi na hawezi Kuja kumpenda mu africa

..sasa kwanini magufuli hakufukuza mabalozi wote toka nchi za wazungu?
 
Waambie ukweli Hawa machawa hawaelewi!

..Na mwenye jukumu la kuweka sera na mikakati ya kuhakikisha shilingi yetu haiporomoki thamani ni Waziri wa Fedha na timu yake ya wataalamu.
 
Anajiita Dk. wa uchumi shilingi inaporomoka yako bize na kuiba na kuvaa bendera

Hopless kabisa huyu kijana
 
Na hilo la uzalishaji wa ndani halitakuja kutokea kwa mazingira haya ya sera mbaya za uwekezaji.
Si bahati mbaya ni kwa sababu maccm top Wana interest zao

wameshika nyanja zote za uchumi

Mwigulu kawekwa pale kulinda maslahi yao
 
Back
Top Bottom