Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mwigulu katika ubora wake.Mwigulu Nchemba amelaumu suala la watu kutumia deni la taifa kisiasa, hivyo ametaja baadhi ya sababu za deni la taifa kuongezeka...
Kama wame weka hilo angalizo kwenye deni ni sawa , lakini katika muktada huo huo watueleze pia kuongezeka Kwa bajeti Hadi hizo trillioni ni Kiasi Gani limetokana na kushuka thamani ya fedha zetuMwigulu Nchemba amelaumu suala la watu kutumia deni la taifa kisiasa, hivyo ametaja baadhi ya sababu za deni la taifa kuongezeka.
Mwigulu amesema Tsh trilioni 5 zilizoongezeka kwenye deni la taifa ni kutokana na kushuka kwa thamani ya shilingi dhidi ya dola. Amesema suala hilo limetokea kutokana na uchumi wa dunia kushuka.
Hotuba nzima ni mipasho na kufoka sijaona la maanaMwigulu Nchemba amelaumu suala la watu kutumia deni la taifa kisiasa, hivyo ametaja baadhi ya sababu za deni la taifa kuongezeka.
Mwigulu amesema Tsh trilioni 5 zilizoongezeka kwenye deni la taifa ni kutokana na kushuka kwa thamani ya shilingi dhidi ya dola. Amesema suala hilo limetokea kutokana na uchumi wa dunia kushuka.
Mwigulu sijawahi kumwelewa kuanzia akili yake mpk utendaji kazi wakeHao ndio sampuli ya wanasiasa wanaoahidi ifikapo 2050 umaskini Tanzania ni ziro, wakati kila kukicha shilingi inazidi kuporomoka na uchumi kuyumba.
Hili ni kweli kabisa, na bill yetu kubwa sana ni mafuta ya petrol, chakula na madawa, hivyo vitu vinachukua pesa zetu zote za kigeni, lakini ukiangalia vizuri, vyakula kama mchele,sukari, mafuta, ngano etc tukiweka mikakati mizuri tunaweza kabisa kukata hiyo bill na kuzalisha wenyewe 100%, mafuta ya petrol pia tunaweza kwa kuanza kuelimisha watu na kuondoa kodi kwenye magari ya umeme na vifaa vya umeme wa jua, bila mikakati mwendo, vitu vingine ni kuweka sheria ya contractors wa highways washirikiane na local contractors ili kuwapa wa kwetu uzoefu na technology transfer ili baadaye tuwalipe in shillings maana kwa sasa tunalipa billions of dollars in road constructions wakati michanga ya kwetu wenyewe, bila mikakati utakuwa ni mwendo wa kurudi nyuma tuuTanzania tuna uchumi wa kuagiza tu kila kitu. Lazima pesa iporomoke. Ipo siku dola moja itakuwa sawa na elfu kumi. Sasa hivi dola inakaribia elfu tatu...
Wao wanauza vingi nje kuliko TanzaniaHuo uchumi wa dunia umeiathiri tu Tanzania?! mbona Kenya tu hapo jirani pesa yetu iko hoi dhidi ya pesa yao...ukiweka pembeni dola?!.
Ila Mwigulu ukimsikiliza kuna wakati mpaka unajiuliza hivi huyu mchumi kweli!?Yaan hata ChatGPt tu inajua kwann pesa ya Tanzania imeporomoka thamani kuliko Waziri wetu!!!Ni kweli global economy inaweza play a role lakini ni very negligible!!Mwigulu tuambie juu ya imports na exports,tuambie juu ya inflation,vip kuhusu foreign investment!Tuambie juu ya hayo yapoje!Mwigulu wew ni mk**(mkuu)Mwigulu Nchemba amelaumu suala la watu kutumia deni la taifa kisiasa, hivyo ametaja baadhi ya sababu za deni la taifa kuongezeka.
Mwigulu amesema Tsh trilioni 5 zilizoongezeka kwenye deni la taifa ni kutokana na kushuka kwa thamani ya shilingi dhidi ya dola. Amesema suala hilo limetokea kutokana na uchumi wa dunia kushuka.