Mwigulu Nchemba: Tsh. Trilioni 5 za Deni la Taifa zimeongezeka kutokana na kushuka kwa Thamani ya Shilingi

Dhamana ya mikopo ni nini? Kama ni reserves of foreign currency na precious metal reserves thamani ya shilingi kushuka dhidi ya dola inajitokeza vipi? Niko tayari kufundishwa kwenye hili.
 
Dhamana ya mikopo ni nini? Kama ni reserves of foreign currency na precious metal reserves thamani ya shilingi kushuka dhidi ya dola inajitokeza vipi? Niko tayari kufundishwa kwenye hili.
Kama mwaka jana uli kopa dollar ikiwa sawa na 2000 tshs, kuilipa mwaka huu hiyo dollar utatumia 2500 tshs kunilipa plus interest
 
Kama mwaka jana uli kopa dollar ikiwa sawa na 2000 tshs, kuilipa mwaka huu hiyo dollar utatumia 2500 tshs kunilipa plus interest
Hilo nalijua lakini mikopo iko secured na nini ambavyo thamani yake kwenye dola ilikuwa ngapi wakati wa kuchukua mkopo na leo ni ngapi? Hiyo ndiyo point yangu kaka!
 
"Tunakopesheka"....
"Riba ni alimia 5"....
"nchi majirani riba ni kati ya asilimia 6- 17"....
"tutembee vifua mbele, nchi inasonga mbele.."...

nk nk nk

Halafu, " deni la taifa limepanda hadi Tri. 5" dola imeshuka".., sasa hiyo dola ikipanda itakuwaje, hito Tril. 5 itarudi?
Hawa watu wameishiwa maneno, ni kusingizia kila kitu. Bahati yao, vijana wa taifa hili bado ni fofofo sana. Ingekuwa kule Burkina Faso au Senegal, wangeisha fanya yao.
 
Kama mwaka jana uli kopa dollar ikiwa sawa na 2000 tshs, kuilipa mwaka huu hiyo dollar utatumia 2500 tshs kunilipa plus interest
Mapato ya serikali si shilingi peke yake. Kuna mapato in foreign currency ambayo itatumika kulipa hiyo mkopo. Pia unaweza kuingia forward contracts for purchase of dollars na exporters earning foreign currency ukilenga ku-service mikopo iliyo katika foreign currency ili kuondoa au ku-minimize foreign exchange differences on valuation of loans deminated in foreign currency.
 
Hawa vijana wa UVCCM na Chipukizi ndio tunawafanya think tank ya nchi tunategemea nini?, tutapigwa punch sana na mabeberu.
 
Kazi ya kiongozi ni kutoa suluhu ya matatizo sio kuja kutuadress matatizo yanayotukabili maana wote tunayajua.

Sisi tunapaswa kuona counter measures na positive results na sio malalamiko na majigambo.

Kuanguka kwa shillingi tayari nifailure ya uongozi uliopo madaraka na hakuna excuse.
 
K
Kwanin shilingi imeshuka
 
Umahiri wa kiongozi uko pale inapotekea crisis ndio maana tunahitaji watu wenye akili na uwezo wa kutatua changamoto kubwakubwa.

Bahati mbaya sana tunaongozwa na watu wenye akili za kawaida sana ambao wana uwezo tulionao watu wengi wakutatua matatizo mepesi mepesi.
 
Hilo nalijua lakini mikopo iko secured na nini ambavyo thamani yake kwenye dola ilikuwa ngapi wakati wa kuchukua mkopo na leo ni ngapi? Hiyo ndiyo point yangu kaka!
Mikopo ya nchi haiko secured na assets kama mikopo ya kawaida, mingi iko based on trust inayoangalia uchumi na hali ya kisiasa, na siku hizi wanatumia credit ratings companies kama Moody's , Fitch etc , ni wall Street companies na yame rate nchi zote duniani kwa kutumia data zinazoonyesha uwezo wa nchi kulipa na kukopesheka, ukishindwa kulipa mikopo kama nchi hawatachukua kipande cha ardhi au bahari sheria za kimataifa zinakataza, ila utailipa tuu hata baada ya miaka 1000, na uchumi wako unaweza kuanguka overnight na pesa yako ikawa useless, Argentina waliwahi kushindwa kulipa madeni inflation ya nchi ilifikia 275% (compare na yetu less than 10% lakini tunalia)
 
Ha ha ha ha. Nimepata elimu mpya leo!
 
Na hilo la uzalishaji wa ndani halitakuja kutokea kwa mazingira haya ya sera mbaya za uwekezaji.
 
Argentina wamemchagua Rais mchumi kwelikweli na outsider kwenye politics. Yuko anapambana na establishments
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…