Mwigulu Nchemba: Tsh. Trilioni 5 za Deni la Taifa zimeongezeka kutokana na kushuka kwa Thamani ya Shilingi


Aseme pia kuongezeka kwa uku wa wa bajeti yetu pia kunasaidiwa na kuporomoka kwa thamani ya pesa yetu. Hilo hawataki kabisa wananchi walisikie.
 
Wenye Madeni wote wametuzidi Uchumi kasoro Senegal na DRC

View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1808443921996947924?t=-PA1HqQpuItNitqDSwc9Uw&s=19
 
Huyu fala mvaa bendera bado yupo ofisini anafanya Nini??

Tukisema huyu Kijana atamwangusha mama na ataiangusha nchi uwezo wake ni mdogo sana
 

..sasa kwanini magufuli hakufukuza mabalozi wote toka nchi za wazungu?
 
Waambie ukweli Hawa machawa hawaelewi!

..Na mwenye jukumu la kuweka sera na mikakati ya kuhakikisha shilingi yetu haiporomoki thamani ni Waziri wa Fedha na timu yake ya wataalamu.
 
Anajiita Dk. wa uchumi shilingi inaporomoka yako bize na kuiba na kuvaa bendera

Hopless kabisa huyu kijana
 
Na hilo la uzalishaji wa ndani halitakuja kutokea kwa mazingira haya ya sera mbaya za uwekezaji.
Si bahati mbaya ni kwa sababu maccm top Wana interest zao

wameshika nyanja zote za uchumi

Mwigulu kawekwa pale kulinda maslahi yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…