Unashukaga inategemea tunataka nini na tunaongea na nani ?
Mfano, Wanasema uchumi wetu ni imara na unakuwa kwa kasi kwasababu hatujaathirika na CORONA lakini Mabeberu wakitoa package ya mkopo nafuu kwaajili ya nchi zilizoathirika na CORONA na sisi tunataka[emoji1787]
Mwenda zake mlimuona mpuuzi
Alitaka kuwa kama mabeberu Wana nia njema ya kutusaidia ni bora wakasamehe madeni ambayo kimsingi nchi za kiafrika zinadaiwa na WB, IMF na mashirika mengine Duniani ili angalau badala ya kulipa hayo madeni nchi maskini Daiwa zitumie pesa hizo kupambana na Corona badala ya kuendelea kukopeshwa na madeni kuwa makubwa zaidi
Sasa naona Samia anakazana kuvaa mabarakoa ili halisi bongo hatujui ata kama kuna Corona tena,
Anafanya hivyo maksudi apate msaada wa kuendesha nchi kwani kukusanya kodi kumemshinda kabisa
Vyuo vikuu fedha ya kujikimu wanafunzi kupolomoka kutoka 500k adi 300k [emoji23][emoji23]
Hii dalili tosha kuwa serikali imeanza kufilisika na haijiwezi tena
Hii elimu Bure ni suala la muda tu
Hii ngoma aliweza mwenyewe tu mzee baba
Hawa wengine ni shobo tu
Upole wa mama ni chanzo Cha kurudi kwa mabeberu n
Kutembeza bakuri kuomba kuchangiwa kodi za wazungu, sisi kodi zetu zimetushinda
Kutofautiana kwa maelezo ya Mwigulu na Mama si mara ya kwanza
Hata Mei mosi tuliona kwa naibu waziri tamisemi jinsi alivyo amsha molali kwa wafanya kazi kuwa huenda wangeongezewa salary lakn bahati mbaya akawajibu majibu yale [emoji23]
Mama Anafanya kwa kukurupuka haulizi kwa watendaji wake nini uhalisia wa vibubu vyao[emoji16][emoji16]
Kuna fukto huko la mgomo kwa madume nadhani[emoji3][emoji3]
Ni sawa na yule mkurugenzi wa TmK alivyoshupaza shingo kwa Meya
Ndivyo shingo ya mama nadhani a navyo shupaza kushadadia vitu asivyo viweza[emoji16][emoji16]
Ndio maana hakuna taarifa yakinifu za kazi za makamu kutumika kwake awamu hii
Juzi Sijui jana kaonekana Burundi ila hakuna taarifa rasmi dhidi ya shughuli iliyo mpeleka huko Makamu,
Shughuli za kumwakilisha Rais nje hutolewa maelezo kwa umma
Badala yake kwa sasa mwakilishi wa Rais nje ni Mwinyi kutoka zanzibar[emoji23][emoji23]
Kuna sintofahamu kabisa
Mpango hana furaha kabisa yaan