Pre GE2025 Mwigulu Nchemba: Upinzani hawafai kabisa watauvunja Muungano

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
1718291630004.png
"Inawezekana wenzetu hawa kwa tamaa za madaraka hawajatilia maanani suala hili (Muungano) viongozi hao wanafikiri kuwa lugha hizo za kuhatarisha muungano zina mashiko kwa wapiga kura wao na kana kwamba hawajawahi kunufaika na uwepo wa muungano, kuligawa Taifa kwa ajili ya kufanikisha ajenda ya kisiasa ni jambo la hatari sana.

"Ndugu Watanzania, viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani wanaotaka kuligawa Taifa letu kwa maslahi mepesi hawastahili kuaminiwa kupewa uongozi wa nchi, ukiwajaribishia hawa watauvunja muungano wetu, wataiua nchi yetu, hawafai kabisa,"

PIA SOMA
- LIVE - Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025, leo Juni 13, 2024 Bungeni, Dodoma
 
Bila shaka ndugu zetu wa Mchambawima mmeona wenyewe wenye shobo na Muungano.
 
"Inawezekana wenzetu hawa kwa tamaa za madaraka hawajatilia maanani suala hili (Muungano) viongozi hao wanafikiri kuwa lugha hizo za kuhatarisha muungano zina mashiko kwa wapiga kura wao na kana kwamba hawajawahi kunufaika na uwepo wa muungano, kuligawa Taifa kwa ajili ya kufanikisha ajenda ya kisiasa ni jambo la hatari sana.

"Ndugu Watanzania, viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani wanaotaka kuligawa Taifa letu kwa maslahi mepesi hawastahili kuaminiwa kupewa uongozi wa nchi, ukiwajaribishia hawa watauvunja muungano wetu, wataiua nchi yetu, hawafai kabisa,"

PIA SOMA
- LIVE - Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025, leo Juni 13, 2024 Bungeni, Dodoma
Hivi hajui kuwa wapiga kura wengi hawataki huu muungano uendelee kwa namna hii?
 
"Inawezekana wenzetu hawa kwa tamaa za madaraka hawajatilia maanani suala hili (Muungano) viongozi hao wanafikiri kuwa lugha hizo za kuhatarisha muungano zina mashiko kwa wapiga kura wao na kana kwamba hawajawahi kunufaika na uwepo wa muungano, kuligawa Taifa kwa ajili ya kufanikisha ajenda ya kisiasa ni jambo la hatari sana.

"Ndugu Watanzania, viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani wanaotaka kuligawa Taifa letu kwa maslahi mepesi hawastahili kuaminiwa kupewa uongozi wa nchi, ukiwajaribishia hawa watauvunja muungano wetu, wataiua nchi yetu, hawafai kabisa,"

PIA SOMA
- LIVE - Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025, leo Juni 13, 2024 Bungeni, Dodoma
Muna speech nyingine ni za kipuuzi.
Wazanzibar wenyewe ndio hawautaki Muungano wana sema twende na paspoti kwao wakati yame jazana huku Bara hadi kwenye bunge letu.
Halafu huyu jamaa ana sema wapinzani wata vunja Muungano. Non sense.
Shenzi kabisa
 
..Waznz ndio hawaupendi muungano kuliko Watanganyika lakini tunalazimishwa kuongozwa na Mzanzibari.

..Hata Samia inawezekana anapenda muungano sababu ya Uraisi, na akiukosa ataungana na ndugu zake kuupinga.
 
"Inawezekana wenzetu hawa kwa tamaa za madaraka hawajatilia maanani suala hili (Muungano) viongozi hao wanafikiri kuwa lugha hizo za kuhatarisha muungano zina mashiko kwa wapiga kura wao na kana kwamba hawajawahi kunufaika na uwepo wa muungano, kuligawa Taifa kwa ajili ya kufanikisha ajenda ya kisiasa ni jambo la hatari sana.

"Ndugu Watanzania, viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani wanaotaka kuligawa Taifa letu kwa maslahi mepesi hawastahili kuaminiwa kupewa uongozi wa nchi, ukiwajaribishia hawa watauvunja muungano wetu, wataiua nchi yetu, hawafai kabisa,"

PIA SOMA
- LIVE - Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025, leo Juni 13, 2024 Bungeni, Dodoma
Mugulu hajawahi kusemea mazuri upinzani, aliwahi kuamua bora wafe kuliko kuwepo kwao, mh lwakatare ni mfano wa mmoja wa wapinzani alotaka wafe
 
Hata Samia inawezekana anapenda muungano sababu ya Uraisi, na akiukosa ataungana na ndugu zake kuupinga.
Imeshatokea mara kadhaa... Hata Fatma Karume linapokuja suala la Muungano yeye hukaa upande wa Zanzibar.

Watu kama kina Mwigulu washughulikiwe majimboni mwao.
 
"Inawezekana wenzetu hawa kwa tamaa za madaraka hawajatilia maanani suala hili (Muungano) viongozi hao wanafikiri kuwa lugha hizo za kuhatarisha muungano zina mashiko kwa wapiga kura wao na kana kwamba hawajawahi kunufaika na uwepo wa muungano, kuligawa Taifa kwa ajili ya kufanikisha ajenda ya kisiasa ni jambo la hatari sana.

"Ndugu Watanzania, viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani wanaotaka kuligawa Taifa letu kwa maslahi mepesi hawastahili kuaminiwa kupewa uongozi wa nchi, ukiwajaribishia hawa watauvunja muungano wetu, wataiua nchi yetu, hawafai kabisa,"

PIA SOMA
- LIVE - Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025, leo Juni 13, 2024 Bungeni, Dodoma
Yeye pia hapaswi kuaminiwa hata chembe
 
Tanzania bara inanufaika nini na huo Muungano? Zaidi ya kuwanufaisha visiwani. Nadhani Nyerere wasiwasi wake mkubwa, ilikuwa ni usalama wa Tanganyika.
Tuuvunje na makubaliano yawe wanajeshi walinde huko mpakani.
 
Tanzania bara inanufaika nini na huo Muungano? Zaidi ya kuwanufaisha visiwani.
Na hili ndilo Tatizo letu watanganyika.

Kama Kuna Zanzibar basi pia Kuna Tanganyika. Wao wana "Serikali ya mapinduzi Zanzibar", iweje sisi tujiite "Tanzania bara"?

Ili kuwe na Tanzania bara ni lazima kuwe na Tanzania visiwani. Sasa Tanzania visiwani haipo kwa nini tuwe na Tanzania bara!!??
 
Back
Top Bottom