"Inawezekana wenzetu hawa kwa tamaa za madaraka hawajatilia maanani suala hili (Muungano) viongozi hao wanafikiri kuwa lugha hizo za kuhatarisha muungano zina mashiko kwa wapiga kura wao na kana kwamba hawajawahi kunufaika na uwepo wa muungano, kuligawa Taifa kwa ajili ya kufanikisha ajenda ya kisiasa ni jambo la hatari sana.
"Ndugu Watanzania, viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani wanaotaka kuligawa Taifa letu kwa maslahi mepesi hawastahili kuaminiwa kupewa uongozi wa nchi, ukiwajaribishia hawa watauvunja muungano wetu, wataiua nchi yetu, hawafai kabisa,"
PIA SOMA
-
LIVE - Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025, leo Juni 13, 2024 Bungeni, Dodoma