Mwigulu Nchemba: Wizara ya Fedha hainufaiki na mikopo ya 'Kausha Damu'

Mwigulu Nchemba: Wizara ya Fedha hainufaiki na mikopo ya 'Kausha Damu'

Mwigulu Madilu Nchemba waziri wa fedha wa sasa si mwizi ni jambazi wa pesa zetu za umma. Huyu bwana baada ya kuteuliwa waziri wa fedha amekuwa na ukwasi wa ghafla, sahv anamiliki klabu 3 za mpira wa miguu, ana mabasi zaidi ya 200 kampuni ya Ester Luxury. Mh. Rais unataka uone nini ili umwondoe hapo?

Yeye si wa kwanza kuwa kwenye hiyo wizara, makamu wako wa Rais Dr. Philip Mpango alihudumu km waziri wa fedha kipindi chote cha Magufuli hatukusikia hata harufu ya ufisadi, hatukuona mradi wowote mkubwa wa Dr. Mpango. Dr. Mpango alikuwa waziri wa fedha kwa miaka 6, huyu mnyiramba amekaa hapo miaka 3 na klub zote hizo?

Mabasi yote hayo bado miradi fiche. Au ni kusema ndege wafananao huruka pamoja? Kwamba we Rais unamtumia kupitisha dili zako?

Mwigulu ni dizaini ya kina January Makamba, ni binadamu wenye tamaa sana na wanaopenda makuu. Magufuli alivyowaondoa aliwajua, hawafai kuwa viongozi, ni matapeli, kila mara kuvaa bendera ya Taifa, ule ni unafki na kuficha ubaradhuli wake.

Uzalendo hauwezi kuoneshwa kwa kuvaa kitambaa chenye rangi ya bendera ya Taifa. Mh. Rais km umeamua kufa naye kwamba km mbwai na iwe mbwai ila Mwigulu haondoki sawa, subiri matokeo ya jumla.

Atakuwa amekupumbaza anavyofahamu yeye. Ila tunakusihi tuondolee huyo jambazi.
 
Mwigulu Madilu Nchemba waziri wa fedha wa sasa si mwizi ni jambazi wa pesa zetu za umma. Huyu bwana baada ya kuteuliwa waziri wa fedha amekuwa na ukwasi wa ghafla, sahv anamiliki klabu 3 za mpira wa miguu, ana mabasi zaidi ya 200 kampuni ya Ester Luxury. Mh. Rais unataka uone nini ili umwondoe hapo....
Taifa limepata hasara kubwa kuwa na mtu kama mwigulu
 
Hapo wizarani ni kama vile amewekwa muuza matikiti Wa buguruni
 
Back
Top Bottom