Mwigulu: Nchi hii tajiri, mtu asikutie mashaka, mambo yote yatakwenda

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 23, 2026 akiweka jiwe la msingi mradi wa Ujenzi Vituo vya Kusukuma Maji, Mabomba Makuu ya Usafirishaji Maji na Matanki ya Kuhifadhia Maji jijini Mwanza amesema kuwa Tanzania ni tajiri ndio maana kuna miradi inaendelea kila kona ya nchi, hivyo watu wasitishwe kuhusu utekelezaji wa miradi mbalimbali.

Your browser is not able to display this video.
 
Ahsante sana mheshimiwa PM
 
Sasa TR107 zilifikaje kama tuna hela zetu?
 
Ndio, tunajuwa...
Ila hiyo keki mwala nyie tu!
 
Hadaa ya hawa dhulumati inawalenga wenye akili ndogo. Hakuna mwenye akili timamu anaweza kuzipokea kauli za uwongo na upuuzi mkubwa kama hiyo ya juyi mnafiki.
 
Mnawatia ujinga Watanzania ilihali nyinyi mnavuta mpunga usiopungua 15M. Kwa mwezi

Malala hoi kuiona elf 20 kwa mwezi ikiwa yote, anashukuru mpaka mizimu ya kwao na kumshukuru Rais πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€—
 
Maji Dar es Salaam shida..... Uranium haijatusaidia!
 
Huu wimbo unakuwa maarufu sana toka M029 juzi juzi tu

Vipi, kuna ni?

117T. Lipeni madeni ya watu, Naiomba Dunia yote iwe kinyume kabisa na Tanzania mpaka tuone nyeti za kuku,

Nawaza tu, huwenda ndani ya mwaka huu huu, ikawa zamu ya wafanyakazi wote, wanafunzi mavyuoni n.k wakaandamana kudai mishahara na boom lao
 
Huyu anasema maskini, huyu anasema tajiri. Tunachanganyana sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…