Mwigulu: Polisi msifumbie macho watu wanaojichukulia sheria mkononi

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba amelitaka Jeshi la Polisi nchini kutofumbia macho watu wanaojichukulia sheria mkononi wakati mwingine hata dhidi ya vyombo vya dola.

Ametoa wito huo akiwa Mwibara mkoani Mara leo Oktoba 2, 2026 akieleza kuwa vitendo hivyo vikifumbiwa macho vitatengeneza madhara makubwa na kuathiri hali ya kiusalama nchini.
===============
Haya vita ni vita ukichukua sheria mkono kama wale wakina fulani kimewarambaaa! oder imeshatoka na aliyepewa anaroho mbaya kinomaaaaa

Your browser is not able to display this video.
 
Kujichukulia sheria mkononi?!
Au kupiga mwamnyeto
yaani utekaji na mauaji yote hayo bado unawaagiza hao hao wafuate sheria?
kweli pimbi ni pimbi tu.
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€πŸ€πŸ€πŸ™πŸ€Ÿβ‰οΈ
 
Hana taarifa kuwa watu wana connection yake?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Aibu utaona ww tu.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…