PostGE2025 Mwigulu: Polisi waache kumtafuta Askofu Gwajima, Muacheni aendelee na ibada zake tujenge umoja wa kitaifa

PostGE2025 Mwigulu: Polisi waache kumtafuta Askofu Gwajima, Muacheni aendelee na ibada zake tujenge umoja wa kitaifa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Akwende kule
Unajua kiongozi anapotoa statement kwa umma anatakiwa kuitoa kwa umakini sana bila kuleta mitazamo hasi. Mfano kauli yamkini ilikusuduia kuleta hali ya utulivu na kubadili upepo fulani. Lakini ukiichambua kwa umakini na kuihusianisha na yanayo endelea kwenye the Republic of ...inakuwa inatudhibitishia na inaonesha kuwa kwa mfumo wa utawala wa Republic of ....Taasisi ya raisi ndo mahakama, ndo mbunge nk, yaani hapa wanaprove kuwa hata maelekezo mengine ambayo ni mabaya au ya mateso pia yana mkono wa mkuu wa Republic.
 
Back
Top Bottom