Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hii imekaaje? Maana Kwa mujibu wa Ibara ya 50(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, iwapo nafasi ya Makamu wa Rais inakuwa wazi, Rais anapendekeza jina la mtu anayefaa, kisha jina hilo linawasilishwa Bungeni ili kupigiwa kura ya ithibati (kuthibitishwa) na Wabunge kabla ya kuapishwa rasmiWaziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, amempongeza Deogratius Ndejembi kwa kuonekana na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa msaidizi wake.
Jana, Jumatano, Agosti 26, 2026, Ndejembi alipendekezwa na vikao vya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa Makamu wa Rais, kuchukua nafasi ya Dkt. Emmanuel Nchimbi, aliyejiuzulu.
Leo, Alhamisi, Agosti 27, 2026, katika kipindi cha maswali ya papo kwa hapo kwa Waziri Mkuu bungeni jijini Dodoma, Mwigulu ameanza kwa kutoa pongezi kwa Ndejembi, ambaye kabla ya kupendekezwa alikuwa Waziri wa Nishati.
Soma: Deogratius Ndejembi ateuliwa kuwa Makamu wa Rais
Aidha, Mwigulu amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kumwona Ndejembi, ambaye pia ni Mbunge wa Chamwino, Mkoa wa Dodoma, kuwa Makamu wa Rais.
Ni kweli,kwakuwa huyo wazazi wake wametokea tanu na ccmWaziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, amempongeza Deogratius Ndejembi kwa kuonekana na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa msaidizi wake.
Jana, Jumatano, Agosti 26, 2026, Ndejembi alipendekezwa na vikao vya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa Makamu wa Rais, kuchukua nafasi ya Dkt. Emmanuel Nchimbi, aliyejiuzulu.
Leo, Alhamisi, Agosti 27, 2026, katika kipindi cha maswali ya papo kwa hapo kwa Waziri Mkuu bungeni jijini Dodoma, Mwigulu ameanza kwa kutoa pongezi kwa Ndejembi, ambaye kabla ya kupendekezwa alikuwa Waziri wa Nishati.
Soma: Deogratius Ndejembi ateuliwa kuwa Makamu wa Rais
Aidha, Mwigulu amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kumwona Ndejembi, ambaye pia ni Mbunge wa Chamwino, Mkoa wa Dodoma, kuwa Makamu wa Rais.
Mmmmmh watu wanajua kuchokonoaUndani wa Ndejembi umeanza kuanikwa mitandaoni
Mosi baba yake mzazi asili yake ni Mpemba mama take ndiye Mtanganyika
Pili kasoma msingi na sekondari Unguja
Tatu ana familia mbili moja inakaa London (haieleweki ana biashara gani za ziada) maana ni billionier wa dollar.
Inasemekana mara baada ya kuingia awamu ya sita amenunua viwanja vingi Masaki kuliko Bashite ( hii aliandika Mange Kimambi mapema mwaka jana)
Povu rucksa ila basi like na facts and figures)
Hivi Top wote wakiwa kutoka ZnZ nini kitatokea?Undani wa Ndejembi umeanza kuanikwa mitandaoni
Mosi baba yake mzazi asili yake ni Mpemba mama take ndiye Mtanganyika
Pili kasoma msingi na sekondari Unguja
Tatu ana familia mbili moja inakaa London (haieleweki ana biashara gani za ziada) maana ni billionier wa dollar.
Inasemekana mara baada ya kuingia awamu ya sita amenunua viwanja vingi Masaki kuliko Bashite ( hii aliandika Mange Kimambi mapema mwaka jana)
Povu rucksa ila basi like na facts and figures)
Muulizeni Ally Khamisi Makame wa Pemba ni nani.
Hakuna haja ya mapovu,ukoo hutokea kwa baba,ndejembi kuwa na mama mpemba sio issue,mie mwenyewe nachati hapa baba yangu alikuwa mjerumani,ukiambiwa mie ni mtanzania asilani huwezi kuamini hata maafisa wa yhamiaji mimi washanisumbua sana,hayo tuyaache,tupigania maendeleo,amani na maisha yenye furaha ili watoto wetu waishi kwa amani na furahaUndani wa Ndejembi umeanza kuanikwa mitandaoni
Mosi baba yake mzazi asili yake ni Mpemba mama take ndiye Mtanganyika
Pili kasoma msingi na sekondari Unguja
Tatu ana familia mbili moja inakaa London (haieleweki ana biashara gani za ziada) maana ni billionier wa dollar.
Inasemekana mara baada ya kuingia awamu ya sita amenunua viwanja vingi Masaki kuliko Bashite ( hii aliandika Mange Kimambi mapema mwaka jana)
Povu rucksa ila basi like na facts and figures)
Muulizeni Ally Khamisi Makame wa Pemba ni nani.
Miongoni mwa wanaolia kimya kimya bila kuonyesha machozi ndo huyu maana anatamani kuwa juu zaidi ya hapo alipoWaziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, amempongeza Deogratius Ndejembi kwa kuonekana na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa msaidizi wake.
Jana, Jumatano, Agosti 26, 2026, Ndejembi alipendekezwa na vikao vya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa Makamu wa Rais, kuchukua nafasi ya Dkt. Emmanuel Nchimbi, aliyejiuzulu.
Leo, Alhamisi, Agosti 27, 2026, katika kipindi cha maswali ya papo kwa hapo kwa Waziri Mkuu bungeni jijini Dodoma, Mwigulu ameanza kwa kutoa pongezi kwa Ndejembi, ambaye kabla ya kupendekezwa alikuwa Waziri wa Nishati.
Soma: Deogratius Ndejembi ateuliwa kuwa Makamu wa Rais
Aidha, Mwigulu amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kumwona Ndejembi, ambaye pia ni Mbunge wa Chamwino, Mkoa wa Dodoma, kuwa Makamu wa Rais.
Ndejembi ni mgogo na ni kutoka Tanzania bara,haiwezekani viongozi wote wakatola zanzibar hizo ni propaganda tupuHivi Top wote wakiwa kutoka ZnZ nini kitatokea?
Maana wachambuzi mnasema Ukiwa Rais wa huku na VP anakuwa wa kule
Sasa mnasema wote wa huko na imepita hiyo
Je na PM akipigwa chini akaweka wa huko who will oppose?
Asante sana kwa hiloNdejembi ni mgogo na ni kutoka Tanzania bara,haiwezekani viongozi wote wakatola zanzibar hizo ni propaganda tupu
Ni propaganda za kisiasa.Asante sana kwa hilo
Alipokuwa Waziri hawakusema haya