Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Iramba Magharibi ambaye pia ni Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba ameeleza sababu ya kushindwa kuweka picha ya Dkt. Samia Suluhu Hassan katika fedha aina ya Noti Kwa sababu Dkt. Samia hapendi sifa yeye anataka kazi ndio ionekane na sio picha yake katika fedha
Akizungumza na Wasafi Media kwenye mwendelezo wa Mikutano ya Kampeni za uchaguzi Mkuu ya Mgombea wa kiti Cha Urais Kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan, Leo Oct 22,2025 Kinyerezi Wilayani Ilala Mkoani Dar Es Salaam,Dkt. Mwigulu amesema kuwa Dkt. Samia hapendi sifa yeye anapenda aone kazi yake ya kuwahudumia Watanzania inaonekana.