Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Mmesasahau wewe na CCM mlisema mmepata msaada wa pesa za kupambana na Uviko na mkadai zimeelekezwa kujenga madarasa nchi nzima?
Sasa kwa nini uchukue tril 1 kutoka foreign reserve na uitumie kujengea madarasa ili hali madarasa yalishajengwa kwa pesa za Uviko?
Tupe majibu watanzania
Sasa kwa nini uchukue tril 1 kutoka foreign reserve na uitumie kujengea madarasa ili hali madarasa yalishajengwa kwa pesa za Uviko?
Tupe majibu watanzania