Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Awe mkweli kwenye jambo awaambialo watanzania.Za foreign reserve zingetumika kufanyia Nini instead?
Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Hujui kazi yake?Za foreign reserve zingetumika kufanyia Nini instead?
Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Ku balance transactions za nchi ili kuzuia inflationZa foreign reserve zingetumika kufanyia Nini instead?
Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Zimetumika kununua Singida Big Stars na usajili wa wazunguMmesasahau wewe na CCM mlisema mmepata msaada wa pesa za kupambana na Uviko na mkadai zimeelekezwa kujenga madarasa nchi nzima?
Sasa kwa nini uchukue tril 1 kutoka foreign reserve na uitumie kujengea madarasa ili hali madarasa yalishajengwa kwa pesa za Uviko?
Tupe majibu watanzania
Tatizo lililopo ndani ya serikali ya Ccm ni kutuona Watanzania ni wajinga.Mmesasahau wewe na CCM mlisema mmepata msaada wa pesa za kupambana na Uviko na mkadai zimeelekezwa kujenga madarasa nchi nzima?
Sasa kwa nini uchukue tril 1 kutoka foreign reserve na uitumie kujengea madarasa ili hali madarasa yalishajengwa kwa pesa za Uviko?
Tupe majibu watanzania
Bora Siro ashaenda zake kwa wamakonde hukoooo ughaibuni. Ameachana na tozo za waziri aliyeandikwa kwamba yeye ndio raisi kwenye mawe na madarajaMwigulu ni mbabe. Anasema kama hutaki nenda Burundi
Miradi iliyoanzishwa kwa mkupuo ni mingi na yote inatakiwa iende, baada ya hatua ya malipo kufikia kulipa ni lazima no matters fedha husika itatoka wapi, lengo ni miradi hii ikwishe hakuna namna ingine, fedha zitanyangwanywa popote zilipie gharama za matengenezo za miradi, that's shorts and clear!Mmesasahau wewe na CCM mlisema mmepata msaada wa pesa za kupambana na Uviko na mkadai zimeelekezwa kujenga madarasa nchi nzima?
Sasa kwa nini uchukue tril 1 kutoka foreign reserve na uitumie kujengea madarasa ili hali madarasa yalishajengwa kwa pesa za Uviko?
Tupe majibu watanzania
Dada bery....Za foreign reserve zingetumika kufanyia Nini instead?
Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Duh babu umesomea uchumi wapi mkuu ,Ni vyema Kama hujui kitu kaa kimya tu mkuu usimdanganye bery.... Unaumbuka Sana kakaKu balance transactions za nchi ili kuzuia inflation
Miradi iliyoanzishwa kwa mkupuo ni mingi na yote inatakiwa iende, baada ya hatua ya malipo kufikia kulipa ni lazima no matters fedha husika itatoka wapi, lengo ni miradi hii ikwishe hakuna namna ingine, fedha zitanyangwanywa popote zilipie gharama za matengenezo za miradi, that's shorts and clear!
Kwa binafsi ninavyoelewa as #crocodiletooth.
Sema ni sauti yako, usitusemee,Mmesasahau wewe na CCM mlisema mmepata msaada wa pesa za kupambana na Uviko na mkadai zimeelekezwa kujenga madarasa nchi nzima?
Sasa kwa nini uchukue tril 1 kutoka foreign reserve na uitumie kujengea madarasa ili hali madarasa yalishajengwa kwa pesa za Uviko?
Tupe majibu watanzania
Kwani we ni mtanzania?Sema ni sauti yako, usitusemee,
We kada wa CCMCCM na ufisadi, ni sawa tu na mgonjwa na uji.